Matajiri tuambieni ukweli, acheni longolongo

hakuna manual ya jinsi ya kufikia mafanikio ila kile unachokifanya ukikifanya kwa ufasaha unafanikiwa uzembe wa kutaka kila kitu ufundishwe ndo unatuponza

Watu tunapenda kuishi kwa kuiga expenses zisizo na maana ndo zinatuponza ukitaka kuwa tajiri unakua tu

Tune your mindset
Utajiri utaupata endapo unajituma pia kikubwa ni malengo pia matumiz yasiyo ya lazima ÷ mfano unataka gari la stareh .. kufanya jambo bila utarajia kwastahili hiyo ni ndoto
Ila startnpoint from ur mind nikufikia lengo flani hope utalipata endapo tu utakuwa na Dhamira , malengo , na taswira
 
  • Thanks
Reactions: 314
ili uwe tajiri lazima uwe tapeli,jambazi na mdhulumati
 
Mi nilisoma nikakosa ajira nilijichimbia msituni nikashikamana na jembe nililima kwa kutumia akili zangu zote bidii na juhudi zote pia nilivumilia mengi Sana mwisho wa siku niliwezs kununua zana za kisasa nikapanua kilimo changu cha nafaka
 
Hahahaa! Ndio maana ukajiita tajirimsomi.
Hongera Mkuu,keep it up.
 
[HASHTAG]#bujibuji[/HASHTAG] utajiri ni ww mwenyewe tu na maamuzi yako. Na kila kizuri ukitakacho ni ww tu na target zako. Work hard, focus na zingatia unachokiamini bila kujali ups and down.

Nadhani utajiri siyo lazima ule wa akina Manji,Mengi,Baresa na wengine. Kua na proper standard life tu ni utajiri tosha.

Binafsi sikuwahi kuwaza kua masikini regardless of daily challenge's Lakini bado napigana
SAFARI YA KUFIKIA UTAJIRI; Maneno ya kutia moyo huwa yako mengi sana utaambiwa''USIFE MOYO,GANGAMALA,
INUKA USITEGEMEE MTU, FANYA JUHUDI UTAFANIKIWA,MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU YAKE MWENYEWE''hayo maneno huwa yanatolewa kutoka kwa watu WALIOFANIKIWA kwenda kwa WASIOFANIKIWA,utafikiri kwamba wao walifanikiwa kwa kauli kama hizo!! Matajiri wengi wametajirika kwa KUWEZESHWA,KURITHI,KUKOPA,KUIB
A,KUDHULUMU,KUNYANG'ANYA,KUFIS
ADI na AKIBA ZAO WALIZOJIWEKEA kutokana na vipato vyaoVIKUBWA vyenye ziada,maana huwezi ukaweka akiba kwa mapato madogo upatayo,utakula nini? Utakosa kutajirika HARAKA kama hulipi kodi kwa biashara zako? Sasa mtu hana chanzo chochote kilichiainishwa hapo juu,atatajirikaje!!??? Atafanikiwaje? Hakuna asemaye ukweli kwa jinsi safari yake ya utajiri ilivyopita. Sisi tusiokuwa na nyenzo mngetuacha kwanza! Mnatuvuruga! Wengi ujasiliamali wetu unaish kuganga njaa na kulipa madeni.MILUZI MINGI INAMPOTEZA MBWA!
 
Kweli mkuu..ni wanafki mno kwa maneno yao laini...huwa nachekaga mno naposikilizaga story za mjasiriamali Shigongo....uongo mtupuuu!!njoo nyuma ya pazia sasa..
Hata kama ni uongo tatizo lako ni nini? Tatizo maskini wengi mmejawa na chuki..
 
Mi nilisoma nikakosa ajira nilijichimbia msituni nikashikamana na jembe nililima kwa kutumia akili zangu zote bidii na juhudi zote pia nilivumilia mengi Sana mwisho wa siku niliwezs kununua zana za kisasa nikapanua kilimo changu cha nafaka
Hongera sana
 
Maji hufuata mkondo wake vivyo hivyo fweza hufuata ukoo wake. Kuna taifa flano kwao wapo waliolaaniwa tiyari. Kushikwa na rupia noti wastahili kifo sokoni. Upo?? Umaskini ni laana yapaswa ikataliwe
Hii mm naipinga.
 
Back
Top Bottom