zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
- Thread starter
- #21
Ila jamani ukishakuwa self employed napo itakuhitaji uamke mapema na wakati your the boss na you can make any decision on your own....Kuna level flan ya maisha ukifikia plus majukumu uliyonayo
utajikuta automaticaly huwezi lala masaa 8,huwezi weka kipaumbele
kwenye muonekano wako,kikubwa umevaa vizuri inatosha,wala haina
cha uwe tajiri wala maskini jeuri ni Maisha tu yanakufanya uwe hivyo bila hata kelele.