zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Ila sa nyingine motivational speakers huwa ni waongo....
Hivi hii Ina kweli
Eti tabia za matajiri huamka mapema asubuhi na kuchelewa kulala kutokana na kufanya kazi muda mwingi.....
Huwa hawavai vizuri kwasababu hawatumii muda wao mwingi kuchagua nguo bali kutafuta Pesa.....
Hutumia pesa kwa akili na kuwekeza ili ziongezeke na sio kutumia bila mipango madhubuti...
Husoma vitabu sana na kuongeza maarifa badala ya kutumia Simu au kuperuzi mitandaoni muda wote
Motivational speakers mnatupiga uongo nyie mnatafuta hela mnajidai wahamasishaji
#Iam Zagarino