Asante. Good ride wako wapihizo tairi adimu sana kwa upande wa bridgestone. waone goodride.
Asante. Good ride wako wapihizo tairi adimu sana kwa upande wa bridgestone. waone goodride.
wako kila sehemu, kariakoo wapo wengi wauzaji wa Goodride.Asante. Good ride wako wapi
ni rim size ngapi???Mkuu za Prado TX diesel ni shs ngapi kwa tyre 4
za kirukuu zipo mkuu bei 140,000/ kwa moja.Za kirikuu vipi?
ungecheki size ya tairi ya gari yako unayotumia kwa sasa, halafu uniambie ni size gani??.265/65/r17 inakaa kwenye kluger?
sawa, kwa 265/65R17 - inafunga mkuu.255/65/r17
Nikirudi dar nakuchekisawa, kwa 265/65R17 - inafunga mkuu.
sawa. karibu.Nikirudi dar nakucheki