Hawahitajiki cheap labour tu,wanahitajika high skilled cheap labourTutumie opportunity hio tulete investment huku kuna cheap labour za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Je africa tunao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawahitajiki cheap labour tu,wanahitajika high skilled cheap labourTutumie opportunity hio tulete investment huku kuna cheap labour za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua ni kwamba so wewe tu kutoka Afrika unayemtegemea mchina Bali hata marekani na ukubwa wake hawatasurvive kirahisi bila made in chinaBado sijajua kwa nini Afrika tunategemea vitu vya hovyo toka China.
Ni wakati sasa wa kutengeneza vitu vyetu wenyewe.
Nguo ,madawa, Bajaji ,Baskeli,pikipiki, n.k. Tuna wataalam wa kutosha lakini tunakimbilia vitu vya hovyo toka China kwa sababu ya kuwa jalala.
Tuna rasilimali za kutosha .
Wakae kwao na sisi kwetu kila mmoja auze vitu bora kwa mwenzake.
Tutawauzia Chakula na madini .
Lakini mwiko kununua Nguo za hovyo toka China na eti mpaka biskuti tunanunua toka China .Nani ametulaga waafrika.
Mpaka Majengo na madaraja karne ya 21 tunawategemea wachina . Na serikali zetu zinaona ni sawa tu mana kuna wanasiasa wachache wananufaika na ununuzi na mikataba ya wachina.
Mpaka maski tunashindwa kushona wenyewe mpaka tuagize kutoka China.
Teambiwa dawa ni kunawa mikono lakini hata sabauni tunashindwa kumwaga huko Kwenye maeneo yetu ili kuvipumbaza au kuviua virusi vya corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
factsUsichokijua ni kwamba so wewe tu kutoka Afrika unayemtegemea mchina Bali hata marekani na ukubwa wake hawatasurvive kirahisi bila made in china
Sent using Jamii Forums mobile app
nahisi kaishakuelewaMtoa mada kunywa maji kwanza kabla hujaandika hayoo makampuni mengi yaliyowekeza nchini siyo kwamba wamewekeza yenyewe Bali yalilazimishwa kuwa na joint venture na wachina kwaiyo usiisi ni rahisi kama unavyowaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujaielewa habari. Hicho unachikiita joint venture wala siyo tatizoMtoa mada kunywa maji kwanza kabla hujaandika hayoo makampuni mengi yaliyowekeza nchini siyo kwamba wamewekeza yenyewe Bali yalilazimishwa kuwa na joint venture na wachina kwaiyo usiisi ni rahisi kama unavyowaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kama huyo anaweza kua na familia na watoto wanategemea mawazo yake kama mzazi, kama mama. Wanaume tuna kazi sana.Nahisi hata huelewi nini kinaendelea? Akiekwambia kwamba waliowekeza china ni kwasababu wanatafuta soko la china ni nani? China mwenyewe hana pa kuuza alafu wao wapate masoko? Ni kwamba wamewekeza just because of the cheap labour thats it
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi watayatoa makampuni yao ili tuone hao wachina wataweka joint venture kwenye makampuni gani. Kama wanaoubavu wayafuate hukohuko yatakapohamia wakaweke joint venture tena tuoneMtoa mada kunywa maji kwanza kabla hujaandika hayoo makampuni mengi yaliyowekeza nchini siyo kwamba wamewekeza yenyewe Bali yalilazimishwa kuwa na joint venture na wachina kwaiyo usiisi ni rahisi kama unavyowaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawez kutoa mkuu wacha kukariri maishaBasi watayatoa makampuni yao ili tuone hao wachina wataweka joint venture kwenye makampuni gani. Kama wanaoubavu wayafuate hukohuko yatakapohamia wakaweke joint venture tena tuone
Hivi nchi inaweza kua na purchasing power parity(PPP) kubwa kuliko zote duniani halafu at the same time kusiwe na soko kubwa kwenye nchi hiyo tena yenye watu 1.3 billion,kwa kuanzia tu unajua china ndio soko kubwa la magari duniani?Mtu kama huyo anaweza kua na familia na watoto wanategemea mawazo yake kama mzazi, kama mama. Wanaume tuna kazi sana.
Mtu ambae haelewi kua china haina masoko ola ina idadi kubwa ya wafanyakazi wa gharama ndogo. Chinaangekua na soko asingekua anavutana na Marekani. Uchumi wa china ni export oriented, ukivurugwa kidogo unayumba sana. China hakuna masoko.