Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,066
- 63,245
Katika hali inavyozidi kubadirika duniani Mataifa makubwa yameanza kuondoa mitaji yao China.
Katika hatua isiyotegemewa, Serikali ya Japani imetenga dola bilion 2.2 kufadhili makampuni yake yaliyowekeza China kuondoa shughuli zao huko na kuwekeza kwingine.
Wakati huohuo na serikali za nchi za magharibi zimeonyesha kusudio la kuondoa makampuni yao yaliyoko China na kuwekeza kwingine.
Hali hiyo imetokana na kutambua kuwa kitendo cha nchi hizo kupeleka makampuni yao ya kudhalisha bidhaa muhimu china kunahatarisha usalama wao, mfano mzuri ni kitendo cha sasa ambacho kinazifanya nchi za west kuitegemea China kwa madawa kwa kiwango kikubwa kabisa.
Hii video hapa chini ina maelezo zaidi