Mataifa ya Nje na Jumuiya za Kimataifa ili zituelewe ni lazima IGP apelekwe ICC kushitakiwa

Mataifa ya Nje na Jumuiya za Kimataifa ili zituelewe ni lazima IGP apelekwe ICC kushitakiwa

lubajaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,512
Reaction score
687
Ili Jumuiya za Kimataifa na Mataifa ya Nje ziweze kutuelewa ni vyema IGP aweze kupelekwa The Hague - ICC kufunguliwa mashitaka ya mauaji yaliyofanyika.

Hii itasaidia Sana IGP wajao wasiweze kutoa AMRI kama hizi katili za kuua watanganyika na kutoa AMRI za Curfew za kibabe.

Chao
 
Si IGP peke yake, kuna kama watu 5 top wanatakiwa wasweke remande ya ICC ili watie adabu.
1. Samuya
2. CDF
3. IGP
4. Mafwele - the wanted one
5. Muliro.
 
Haendi ng'o, labda apelekwe mumeo kwanza kwa kukuoa wewe ukiwa Bado mwanafunzi.
 
Si IGP peke yake, kuna kama watu 5 top wanatakiwa wasweke remande ya ICC ili watie adabu.
1. Samuya
2. CDF
3. IGP
4. Mafwele - the wanted one
5. Muliro.
Mtasubiri sana maTEC wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom