MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,408
- Thread starter
- #41
Wewe mkenya huna lolote. Kila siku kuranda randa kwenye hili jukawaa na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Unafikiri utamtisha nani?
Hivi mbona huwa unalialia Mkenya akiitaja Tanzania, ilhali wewe hukesha humu ukituambia mambo ya sijui akina Ole Sakina na Kenya, mkuki kwa binadamu mchungu ila kwa nguruwe mtamu.