MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,757
- 48,407
Huu uzi nimeufungua ili kuhabarishana kuhusu hiki kirusi maana kuna upotoshwaji mwingi sana upo kwenye mitandao ya kijamii, kila mtu amekua mjuzi na daktari, Afrika yenye watu zaidi ya bilioni 1.2 ipo hatarini sana maana ni matafa machache yenye uwezo wa kubaini Corona, hivyo kuna baadhi ya mataifa kinaweza kikazagaa sana kabla kujulikana.
Mataifa mengi wanatumia vipima joto kwenye uwanja wa ndege, hivyo tu havitoshi, maana ukiambukizwa Corona inachukua hata zaidi ya wiki kabla joto likupande. Ni kama UKIMWI, ukiambukizwa leo haitajulikana mpaka kirusi kikolee humo na kije kuonekana kwenye damu.
Na hata joto likipanda utengwe, itabidi damu yako ipelekwe kwa taifa lenye uwezo wa kubaini Corona ndio ije kufahamika utatibiwa vipi.
Hivyo badala ya kubishana kwenye mitandao, kila mmoja ana jukumu la kuhoji uongozi au utawala kwenye nchi yake kama kweli wapo tayari kugundua Corona au ni soga za mjini tu.
WHO sends virus test kits to African nations after first case confirmed