MATAGA: Brilliant idea, poor execution

MATAGA: Brilliant idea, poor execution

Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

MATAGA na Bashite wapi na wapi!

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho. Hii dhana ya kusema eti kuna makada wa buku saba au nane eti wameajiriwa kupiga propaganda ni hoja za kufurahisha nafsi.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape Nnauye hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda. Nape Nnauye alifanya kazi ya kukiondoa na akaelekeza nguvu za uhamasishaji na propaganda kupitia mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona kila mara unampa Bashite nguvu ambazo hana. Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana ili kuonyesha ana nguvu ndani ya chama na serikalini wakati hana hizo nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Bila kupinga mawazo yako, hayo huyo jamaa aliyoandika inawezekana isiwe kweli kwa 100%, lakini kuna ukweli mwingi tu kutokana na kile kinachoendelea. Mkulu anataka tuamini sio mtu wa siasa, lakini ukweli jamaa anaongozwa na hisia za kisiasa kwa zaidi ya 90%. Tatizo lake ni moja hawezi siasa za ushindani ndio maana anakuja na makatazo haramu.

Huo ushirikiano wa hiyo tiss na hilo kundi uko sana na wote wanaongozwa na hisia za kisiasa. Kwa hili hata ubishe vipi huo ndio ukweli. Na matokeo ya huo ushirikiano ni hawa watu wanaookotwa kwenye viroba.
 
Artificial Intelligence and Autonomy The global race to develop artificial intelligence (AI) likely to accelerate the development of highly implication — systems that imitate aspects of human cognition capable, application— is specific AI systems with national security s and deploy . capabilities, AIAs academia, major companies, and large government programs continue to develop AI enhanced systems are likely to be trusted with increasing levels of autonomy and decisionmaking, presenting the world with a host of economic , military, ethical, and 15 16 privacy challenges. Furthermore, interactions between multiple advanced AI systems could lead to unexpected outcomes that increase the risk of economic miscalculation or battlefield surprise.
 
MATAGA ni nini?

Jibu fupi: Kwa uelewa wa laymen out there, ni motto (kaulimbiu) ambayo ni kifupi cha maneno "MAke TAnzania Great Again."

Hadi hapo hakuna tatizo japo jina hilo "limeibwa" kutoka katika kaulimbiu ya MAGA - Make America Great Again - ya Donald Trump.

Jibu refu: Yes, kwa wengi wenu MATAGA ni motto tu. However, kwa wanaofahamu yanayojiri nyuma ya pazia/chini ya kapeti, na kwa wenye uelewa wa "dark arts" (sanaa za kiza), MATAGA = (blend kati ya) "Watu Wasiojulikana" wa Daudi Albert Bashite + watu walioajiriwa rasmi na Kitengo kutoka private sector. Lengo la ajira kwa MATAGA lilikuwa kuchanganya intelijensia na utaalam mwingine. Kwamba, vijana wapya wa MATAGA walete kitengoni ujuzi wao katika sekta mbalimbali, hususan IT, na kitengo kiwapatie dozi ya taaluma nyeti ya intelijensia. Wazo zuri hadi hapo.

What went wrong?

Jibu fupi: virtually everything.

Jibu refu: Japo wazo lilikuwa zuri, utekelezaji ulikuwa zaidi ya mbovu. Kasoro ya kwanza ilianza kwenye wasifu wa waajiriwa. Takriban wote waliingizwa MATAGA sio on merit bali kwa kuzingatia ukabila/ukanda. Takriban MATAGA wote ni watu wa Kanda ya Ziwa.

Kasoro ya pili, uwezo dhaifu wa hao walioingizwa MATAGA. Badala ya kutafuta the smartest minds out there (katika fani zao kabla ya kuingizwa kitengo), ikafanyika "zoa zoa" tu na kupuuzia kigezo muhimu katika taaluma ya intelijensia, yaani uwezo wa hali ya juu wa AKILI (intelligence).

Kasoro ya tatu ni baada ya hao jamaa kuingia Kitengoni ambapo ikatengemezwa dharura flani kama excuse ya kutowapeleka kufanya JBC (kozi ya msingi/awali kwa maafisa wa kitengo). Matokeo yake, hadi sasa MATAGA wengi wapo wapo tu, hawajui kazi yao japo wana maslahi mazuri zaidi ya wana-kitengo wengi waliokuwepo kabla yao, na ambao walipitia "shuruba za Malindi."

Jiwe amenukuliwa mara kadhaa akieleza kutoridhishwa kwake na utendaji kazi wa MATAGA, ambao kwa sababu wengi wao wana ufahamu wa wastani kuhusu TEHAMA, wamegauza mtandaoni kuwa ndio eneo lao la kazi. Tuseme wamegeuka na-field officer wa mtandaoni. Ndio hawa wanaowasumbua hapa na huko kwingineko.

Kwa vile hawana uelewa wa A wala B ya intelijensia, wamejikita katika kuandama watu mitandaoni na kufanya propaganda za "Tanzania mpya" wakishirikiana kwa karibu na "watu wa buku saba wa Lumumba." Hata hivyo, makundi haya mawili si rafiki, kwani kila mmoja anamwona mwenzie anaingilia kazi yake.

Lakini pengine kosa kubwa zaidi, na ambalo lilichangiwa na huo "ukabila/ukanda" ni ukweli kwamba majirani zetu, hususan "Mtu Mrefu Paulo" walibaini mapema kuwa idea ya MATAGA ilikuwa fursa nzuri kwao kupenyeza watu wao. Na waliitumia vema.

So how is the situation right now?

Jibu fupi: depends on if you give a f*ck kuhusu mustakabali wa Tanzania.

Jibu refu: MATAGA is a time bomb. Ni disaster. It is a train wreck in slow motion. Na Jiwe anafahamu sana kuhusu hilo, no wonder analalamika kuwa ni wababaishaji wanaoweka mbele fedha kuliko uzalendo.

Ujio wa MATAGA umekuza kansa inayokitafuna Kitengo kwa muda mrefu: taarifa feki za kiusalama. Kwa MATAGA, taarifa feki zinawasaidia kwa namna mbili. Kwanza, uwezo wao duni wa kutafuta taarifa za kiusalama unapata ahueni. Pili, kwa vile wengi wao wanaishi kama "wazungu wa unga huko mtaani," taarifa feki zinawasaidia kupata fedha za operesheni feki na hivyo kuwa na uwezo wa "kumudu maisha yao ya ki-uzungu wa unga."

Lakini pengine kwa kuwatendea haki MATAGA, kansa kubwa zaidi inayokitafuna kitengo ni kujikita zaidi kwenye siasa na kutumika kama kitengo cha ulinzi cha CCM, na japo siasa ni moja ya maeneo lengwa ya intelijensia, key areas za UJASUSI (espionage), UZANDIKI (subversion), HUJUMA (sabotage) na UGAIDI (terrorism) zinakuwa wahanga wa hiyo politicisation of intelligence.

Sambamba na hilo ni mapungufu ya muda mrefu katika Intelligence analysis. Unaweza kuwa na best field officers lakini kama huna best intelligence analyst ni kazi bure kwa sababu mara nyingi taarifa ya kiusalama in their raw form hazina tija kwa consumption ya Sponsor (Rais) na/au policy makers kwa ujumla.

Na kuwategemea MATAGA kwenye intelligence analysis ni kama kutarajia kugema damu kwenye jiwe.

Way forward?

Jibu fupi: hardly any!

Jibu refu: moja ya sekta zilizodumaa kwa muda mrefu pasipo kujihangaisha na mabadiliko mbalimbali ni intelijensia (yetu). Wenzetu katika nchi nyingine wanahangaika kwenda na wakati ambapo tayari mataifa kadhaa yanajaribu kukumbatia teknolojia za kisasa kama artificial intelligence, machine learning, blockchain, nk

Kuna haja ya reforms kwenye sekta ya intelijensia, lakini hiyo ni ndoto hasa kwa kuzingatia symbiotic relationship kati ya Kitengo na CCM ambapo kila mmoja anamtegemea mwenzie for their survival. Mapungufu ya kitengo yanapata hifadhi katika kubebwa na CCM, na malipo yake ni Kitengo kuwa kama tawi la chama hicho tawala.

Lakini to be fair, hata kwa mataifa makubwa kiintelijensia kama Marekani, UK au Israeli, reforms kwenye sekta ya intelijensia hukumbana na kikwazo cha usiri unaotawala taaluma hiyo, japo mara nyingi kwa wenzetu usiri huo huambatana na professionalism ambayo bahati mbaya kwetu inakuwa politicised.

Ukipata wasaa soma hii kitu hapo chini ambayo kimzaha nime-wish MATAGA wangeweza kuja nayo (focusing on local stuff) kumuokoa Jiwe (he is in big trouble but that's a topic for another day[emoji4])

Adobe Document CloudView attachment 1020553

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli.

Mara nyingi Sana nafuatilia taarifa zako nikiamini kwamba ziko sahihi.

Ila hapa ndugu, umeingia Chaka Live. Mwambie aliekutumia taarifa kaingia Chaka.

Asante Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

MATAGA na Bashite wapi na wapi!

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho. Hii dhana ya kusema eti kuna makada wa buku saba au nane eti wameajiriwa kupiga propaganda ni hoja za kufurahisha nafsi.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape Nnauye hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda. Nape Nnauye alifanya kazi ya kukiondoa na akaelekeza nguvu za uhamasishaji na propaganda kupitia mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona kila mara unampa Bashite nguvu ambazo hana. Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana ili kuonyesha ana nguvu ndani ya chama na serikalini wakati hana hizo nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
MATAGA haihusiki na Bashite Wala haiko chini ya Dr Abbas na habari maelezo Wala haiko chini ya Gerson.

Uliyoyaandika mengine kuhusu CCM uko sahihi.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATAGA imekosewa pale iliporuhusu kuundwa KIKOSI KAZI MAALUMU ambacho hakipo kikatiba cha kudhuru wananchi kwa mrengo wa kisiasa kwa kisingizio kulinda uzalendo na kumfurahisha bwana mkubwa.

Kosa jingine hilo la zoa zoa kuweka makada kuwa ma RC DC RAS na DED hiyo imeshusha morali ya wafanyakazi wa kudumu.

Kosa la tatu kuwatisha wafanya biashara kwa kesi lukuki na kuwanyang'anya mali zao kimya kimya

Kosa la nne sera za uchumi kwa. Sasa hazitabiriki inategemea jamaa ataamkaje kilicho halali leo kesho chaweza kuwa haramu

LIKUD
Lizaboni
USSR
FaizaFoxy
Mshana Jr
PASKALI mayalla
 
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

MATAGA na Bashite wapi na wapi!

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho. Hii dhana ya kusema eti kuna makada wa buku saba au nane eti wameajiriwa kupiga propaganda ni hoja za kufurahisha nafsi.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape Nnauye hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda. Nape Nnauye alifanya kazi ya kukiondoa na akaelekeza nguvu za uhamasishaji na propaganda kupitia mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona kila mara unampa Bashite nguvu ambazo hana. Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana ili kuonyesha ana nguvu ndani ya chama na serikalini wakati hana hizo nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bashite hana nguvu za chama na serikali? Nimekudharau sana. Aliendaje Clouds kuvamia na mpaka leo kimyaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In other words ni kwamba wanategemeana? Hii relation itabid ivunjike ili tutengeneze Tiss ya kueleweka.
Tiss itaendelea kutumika kisiasa mpaka lini?
They have to change

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja anajiita Msemaji ukweli, CCM yeye ndio msemaji, TISS yeye ndio msemaji, serikalini yeye ndio msemaji ! kuwastukia ni rahisi sana!
 
Evarist Chahali,
Nondo kama hizi za Full Worldwide threats kuwekwa hapa jukwaani, zinaifanya JamiiForums kuwa kimbilio la kupata habari za kila aina. Ngoja kwanza niisome ripoti hii ya Daniel R Coats halafu nije kuiangalia kwa undani MATAGA.
 
Paulo amepata nafasi ku infiltrate!? Duh

hapo MATAGA sio MATAGA ya bwana Abbas, itakuwa kiteng ndani ya kitengo chenye kuaminiwa zaidi
 
Back
Top Bottom