MATAGA: Brilliant idea, poor execution

Evarist Chahali

Verified Member
Dec 12, 2007
860
1,000
MATAGA ni nini?

Jibu fupi: Kwa uelewa wa laymen out there, ni motto (kaulimbiu) ambayo ni kifupi cha maneno "MAke TAnzania Great Again."

Hadi hapo hakuna tatizo japo jina hilo "limeibwa" kutoka katika kaulimbiu ya MAGA - Make America Great Again - ya Donald Trump.

Jibu refu: Yes, kwa wengi wenu MATAGA ni motto tu. However, kwa wanaofahamu yanayojiri nyuma ya pazia/chini ya kapeti, na kwa wenye uelewa wa "dark arts" (sanaa za kiza), MATAGA = (blend kati ya) "Watu Wasiojulikana" wa Daudi Albert Bashite + watu walioajiriwa rasmi na Kitengo kutoka private sector. Lengo la ajira kwa MATAGA lilikuwa kuchanganya intelijensia na utaalam mwingine. Kwamba, vijana wapya wa MATAGA walete kitengoni ujuzi wao katika sekta mbalimbali, hususan IT, na kitengo kiwapatie dozi ya taaluma nyeti ya intelijensia. Wazo zuri hadi hapo.

What went wrong?

Jibu fupi: virtually everything.

Jibu refu: Japo wazo lilikuwa zuri, utekelezaji ulikuwa zaidi ya mbovu. Kasoro ya kwanza ilianza kwenye wasifu wa waajiriwa. Takriban wote waliingizwa MATAGA sio on merit bali kwa kuzingatia ukabila/ukanda. Takriban MATAGA wote ni watu wa Kanda ya Ziwa.

Kasoro ya pili, uwezo dhaifu wa hao walioingizwa MATAGA. Badala ya kutafuta the smartest minds out there (katika fani zao kabla ya kuingizwa kitengo), ikafanyika "zoa zoa" tu na kupuuzia kigezo muhimu katika taaluma ya intelijensia, yaani uwezo wa hali ya juu wa AKILI (intelligence).

Kasoro ya tatu ni baada ya hao jamaa kuingia Kitengoni ambapo ikatengemezwa dharura flani kama excuse ya kutowapeleka kufanya JBC (kozi ya msingi/awali kwa maafisa wa kitengo). Matokeo yake, hadi sasa MATAGA wengi wapo wapo tu, hawajui kazi yao japo wana maslahi mazuri zaidi ya wana-kitengo wengi waliokuwepo kabla yao, na ambao walipitia "shuruba za Malindi."

Jiwe amenukuliwa mara kadhaa akieleza kutoridhishwa kwake na utendaji kazi wa MATAGA, ambao kwa sababu wengi wao wana ufahamu wa wastani kuhusu TEHAMA, wamegauza mtandaoni kuwa ndio eneo lao la kazi. Tuseme wamegeuka na-field officer wa mtandaoni. Ndio hawa wanaowasumbua hapa na huko kwingineko.

Kwa vile hawana uelewa wa A wala B ya intelijensia, wamejikita katika kuandama watu mitandaoni na kufanya propaganda za "Tanzania mpya" wakishirikiana kwa karibu na "watu wa buku saba wa Lumumba." Hata hivyo, makundi haya mawili si rafiki, kwani kila mmoja anamwona mwenzie anaingilia kazi yake.

Lakini pengine kosa kubwa zaidi, na ambalo lilichangiwa na huo "ukabila/ukanda" ni ukweli kwamba majirani zetu, hususan "Mtu Mrefu Paulo" walibaini mapema kuwa idea ya MATAGA ilikuwa fursa nzuri kwao kupenyeza watu wao. Na waliitumia vema.

So how is the situation right now?

Jibu fupi: depends on if you give a f*ck kuhusu mustakabali wa Tanzania.

Jibu refu: MATAGA is a time bomb. Ni disaster. It is a train wreck in slow motion. Na Jiwe anafahamu sana kuhusu hilo, no wonder analalamika kuwa ni wababaishaji wanaoweka mbele fedha kuliko uzalendo.

Ujio wa MATAGA umekuza kansa inayokitafuna Kitengo kwa muda mrefu: taarifa feki za kiusalama. Kwa MATAGA, taarifa feki zinawasaidia kwa namna mbili. Kwanza, uwezo wao duni wa kutafuta taarifa za kiusalama unapata ahueni. Pili, kwa vile wengi wao wanaishi kama "wazungu wa unga huko mtaani," taarifa feki zinawasaidia kupata fedha za operesheni feki na hivyo kuwa na uwezo wa "kumudu maisha yao ya ki-uzungu wa unga."

Lakini pengine kwa kuwatendea haki MATAGA, kansa kubwa zaidi inayokitafuna kitengo ni kujikita zaidi kwenye siasa na kutumika kama kitengo cha ulinzi cha CCM, na japo siasa ni moja ya maeneo lengwa ya intelijensia, key areas za UJASUSI (espionage), UZANDIKI (subversion), HUJUMA (sabotage) na UGAIDI (terrorism) zinakuwa wahanga wa hiyo politicisation of intelligence.

Sambamba na hilo ni mapungufu ya muda mrefu katika Intelligence analysis. Unaweza kuwa na best field officers lakini kama huna best intelligence analyst ni kazi bure kwa sababu mara nyingi taarifa ya kiusalama in their raw form hazina tija kwa consumption ya Sponsor (Rais) na/au policy makers kwa ujumla.

Na kuwategemea MATAGA kwenye intelligence analysis ni kama kutarajia kugema damu kwenye jiwe.

Way forward?

Jibu fupi: hardly any!

Jibu refu: moja ya sekta zilizodumaa kwa muda mrefu pasipo kujihangaisha na mabadiliko mbalimbali ni intelijensia (yetu). Wenzetu katika nchi nyingine wanahangaika kwenda na wakati ambapo tayari mataifa kadhaa yanajaribu kukumbatia teknolojia za kisasa kama artificial intelligence, machine learning, blockchain, nk

Kuna haja ya reforms kwenye sekta ya intelijensia, lakini hiyo ni ndoto hasa kwa kuzingatia symbiotic relationship kati ya Kitengo na CCM ambapo kila mmoja anamtegemea mwenzie for their survival. Mapungufu ya kitengo yanapata hifadhi katika kubebwa na CCM, na malipo yake ni Kitengo kuwa kama tawi la chama hicho tawala.

Lakini to be fair, hata kwa mataifa makubwa kiintelijensia kama Marekani, UK au Israeli, reforms kwenye sekta ya intelijensia hukumbana na kikwazo cha usiri unaotawala taaluma hiyo, japo mara nyingi kwa wenzetu usiri huo huambatana na professionalism ambayo bahati mbaya kwetu inakuwa politicised.

Ukipata wasaa soma hii kitu hapo chini ambayo kimzaha nime-wish MATAGA wangeweza kuja nayo (focusing on local stuff) kumuokoa Jiwe (he is in big trouble but that's a topic for another day)

Adobe Document Cloud
IMG_20190212_080114.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,758
2,000
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

MATAGA na Bashite wapi na wapi!

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho. Hii dhana ya kusema eti kuna makada wa buku saba au nane eti wameajiriwa kupiga propaganda ni hoja za kufurahisha nafsi.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape Nnauye hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda. Nape Nnauye alifanya kazi ya kukiondoa na akaelekeza nguvu za uhamasishaji na propaganda kupitia mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona kila mara unampa Bashite nguvu ambazo hana. Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana ili kuonyesha ana nguvu ndani ya chama na serikalini wakati hana hizo nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,985
2,000
MATAGA ni nini?

Jibu fupi: Kwa uelewa wa laymen out there, ni motto (kaulimbiu) ambayo ni kifupi cha maneno "MAke TAnzania Great Again."

Hadi hapo hakuna tatizo japo jina hilo "limeibwa" kutoka katika kaulimbiu ya MAGA - Make America Great Again - ya Donald Trump.

Jibu refu: Yes, kwa wengi wenu MATAGA ni motto tu. However, kwa wanaofahamu yanayojiri nyuma ya pazia/chini ya kapeti, na kwa wenye uelewa wa "dark arts" (sanaa za kiza), MATAGA = (blend kati ya) "Watu Wasiojulikana" wa Daudi Albert Bashite + watu walioajiriwa rasmi na Kitengo kutoka private sector. Lengo la ajira kwa MATAGA lilikuwa kuchanganya intelijensia na utaalam mwingine. Kwamba, vijana wapya wa MATAGA walete kitengoni ujuzi wao katika sekta mbalimbali, hususan IT, na kitengo kiwapatie dozi ya taaluma nyeti ya intelijensia. Wazo zuri hadi hapo.

What went wrong?

Jibu fupi: virtually everything.

Jibu refu: Japo wazo lilikuwa zuri, utekelezaji ulikuwa zaidi ya mbovu. Kasoro ya kwanza ilianza kwenye wasifu wa waajiriwa. Takriban wote waliingizwa MATAGA sio on merit bali kwa kuzingatia ukabila/ukanda. Takriban MATAGA wote ni watu wa Kanda ya Ziwa.

Kasoro ya pili, uwezo dhaifu wa hao walioingizwa MATAGA. Badala ya kutafuta the smartest minds out there (katika fani zao kabla ya kuingizwa kitengo), ikafanyika "zoa zoa" tu na kupuuzia kigezo muhimu katika taaluma ya intelijensia, yaani uwezo wa haki ya juu wa AKILI (intelligence).

Kasoro ya tatu ni baada ya hao jamaa kuingia Kitengoni ambapo ikatengemezwa dharura flani kama excuse ya kutowapeleka kufanya JBC (kozi ya msingi/awali kwa maafisa wa kitengo). Matokeo yake, hadi sasa MATAGA wengi wapo wapo tu, hawajui kazi yao japo wana maslahi mazuri zaidi ya wana-kitengo wengi waliokuwepo kabla yao, na ambao walipitia "shuruba za Malindi."

Jiwe amenukuliwa mara kadhaa akieleza kutoridhishwa kwake na utendaji kazi wa MATAGA, ambao kwa sababu wengi wao wana ufahamu wa wastani kuhusu TEHAMA, wamegauza mtandaoni kuwa ndio eneo lao la kazi. Tuseme wamegeuka na-field officer wa mtandaoni. Ndio hawa wanaowasumbua hapa na huko kwingineko.

Kwa vile hawana uelewa wa A wala B ya intelijensia, wamejikita katika kuandama watu mitandaoni na kufanya propaganda za "Tanzania mpya" wakishirikiana kwa karibu na "watu wa buku saba wa Lumumba." Hata hivyo, makundi haya mawili si rafiki, kwani kila mmoja anamwona mwenzie anaingilia kazi yake.

Lakini pengine kosa kubwa zaidi, na ambalo lilichangiwa na huo "ukabila/ukanda" ni ukweli kwamba majirani zetu, hususan "Mtu Mrefu Paulo" walibaini mapema kuwa idea ya MATAGA ilikuwa fursa nzuri kwao kupenyeza watu wao. Na waliitumia vema.

So how is the situation right now?

Jibu fupi: depends on if you give a f*ck kuhusu mustakabali wa Tanzania.

Jibu refu: MATAGA is a time bomb. Ni disaster. It is a train wreck in slow motion. Na Jiwe anafahamu sana kuhusu hilo, no wonder analalamika kuwa ni wababaishaji wanaoweka mbele fedha kuliko uzalendo.

Ujio wa MATAGA umekuza kansa inayokitafuna Kitengo kwa muda mrefu: taarifa feki za kiusalama. Kwa MATAGA, taarifa feki zinawasaidia kwa namna mbili. Kwanza, uwezo wao duni wa kutafuta taarifa za kiusalama unapata ahueni. Pili, kwa vile wengi wao wanaishi kama "wazungu wa unga huko mtaani," taarifa feki zinawasaidia kupata fedha za operesheni feki na hivyo kuwa na uwezo wa "kumudu maisha yao ya ki-uzungu wa unga."

Lakini pengine kwa kuwatendea haki MATAGA, kansa kubwa zaidi inayokitafuna kitengo ni kujikita zaidi kwenye siasa na kutumika kama kitengo cha ulinzi cha CCM, na japo siasa ni moja ya maeneo lengwa ya intelijensia, key areas za UJASUSI (espionage), UZANDIKI (subversion), HUJUMA (sabotage) na UGAIDI (terrorism) zinakuwa wahanga wa hiyo politicisation of intelligence.

Sambamba na hilo ni mapungufu ya muda mrefu katika Intelligence analysis. Unaweza kuwa na best field officers lakini kama huna best intelligence analyst ni kazi bure kwa sababu mara nyingi taarifa ya kiusalama in their raw form hazina tija kwa consumption ya Sponsor (Rais) na/au policy makers kwa ujumla.

Na kuwategemea MATAGA kwenye intelligence analysis ni kama kutarajia kugema damu kwenye jiwe.

Way forward?

Jibu fupi: hardly any!

Jibu refu: moja ya sekta zilizodumaa kwa muda mrefu pasipo kujihangaisha na mabadiliko mbalimbali ni intelijensia (yetu). Wenzetu katika nchi nyingine wanahangaika kwenda na wakati ambapo tayari mataifa kadhaa yanajaribu kukumbatia teknolojia za kisasa kama artificial intelligence, machine learning, blockchain, nk

Kuna haja ya reforms kwenye sekta ya intelijensia, lakini hiyo ni ndoto hasa kwa kuzingatia symbiotic relationship kati ya Kitengo na CCM ambapo kila mmoja anamtegemea mwenzie for their survival. Mapungufu ya kitengo yanapata hifadhi katika kubebwa na CCM, na malipo yake ni Kitengo kuwa kama tawi la chama hicho tawala.

Lakini to be fair, hata kwa mataifa makubwa kiintelijensia kama Marekani, UK au Israeli, reforms kwenye sekta ya intelijensia hukumbana na kikwazo cha usiri unaotawala taaluma hiyo, japo mara nyingi kwa wenzetu usiri huo huambatana na professionalism ambayo bahati mbaya kwetu inakuwa politicised.

Ukipata wasaa soma hii kitu hapo chini ambayo kimzaha nime-wish MATAGA wangeweza kuja nayo (focusing on local stuff) kumuokoa Jiwe (he is in big trouble but that's a topic for another day)

Adobe Document Cloud View attachment 1020553

Sent using Jamii Forums mobile app
Front Seat kabisa kushuhudia Povu kutoka kwa MATAGA live live

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
5,988
2,000
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda ambacho Nape Nnauye alifanya kazi ili kukiondoa na akaelekeza nguvu zake kwenye mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona unampa Bashite nguvu ambazo hana.

Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa Nambazo hana.

MATAGA na bashite wapi na wapi!

Tanzania kuna vituko!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawe umeandika hisia zako tu.
 
Dozza

Senior Member
Oct 14, 2015
157
250
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda ambacho Nape Nnauye alifanya kazi ili kukiondoa na akaelekeza nguvu zake kwenye mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona unampa Bashite nguvu ambazo hana.

Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana.

MATAGA na bashite wapi na wapi!

Tanzania kuna vituko!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Funguka mkuu hapo kwenye red, ni kwanini??
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,924
2,000
Hii MATAGA lbda itaishia KUTAGA MAYAI TU (Airbus, Dreamliner, SGR nk.) ........ Watanzania tunataka vifaranga siyo mayai!!
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
6,912
2,000
Likely, mimi niko nyuma sana ya wakati...

Hii Make Tanzania Great Again (MATAGA) ni nini?

Nani mwanzilishi wake?

Nini malengo yake?

Ndiyo TISS mpya?

How Tanzania can be made great again?

When was Tanzania small....not great?

Ni kitengo kipya within TISS?

Au ndiyo Murder Squad?

Or Rogue Squad inayosumbua nyakati hizi kwa kuteka na kupoteza watu na sometimes to shoot & kill those who are against "Glorious Pombe" a. k. a The Government?
 
Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,696
2,000
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda ambacho Nape Nnauye alifanya kazi ili kukiondoa na akaelekeza nguvu zake kwenye mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona unampa Bashite nguvu ambazo hana.

Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana.

MATAGA na bashite wapi na wapi!

Tanzania kuna vituko!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti ni wewe pekee yako una upendeleo badala ya kulipwa B7 kama wenzako una lipwa B14 halafu unajiona mjanja
 
kirumonjeta

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
3,981
2,000
Mafahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyika,nipo hapa kwa juu naangalia mchezo mwanzo mwisho
 
Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
3,885
2,000
Ulichoandika hapa ni hisia zako tu ambazo umezitengenezea hoja ukitumia wasifu wako wa zamani ili zionekane niza kweli wakati ni crap.

Kitengo cha habari kwa Umma kinachoongozwa na Dkt Abbas kinahusiana vipi na watu wa usalama wa taifa. Kitengo cha habari kwa Umma ndio kilichokuja na kaulimbiu ya MATAGA.

MATAGA na Bashite wapi na wapi!

Halafu kwa kukusaidia hakuna kwa sasa mtu aliyeajiliwa na CCM eti kufanya kazi mitandaoni. CCM ya sasa haina kitu kama hicho. Hii dhana ya kusema eti kuna makada wa buku saba au nane eti wameajiriwa kupiga propaganda ni hoja za kufurahisha nafsi.

Vijana waliokuwa wameajiriwa na January Makamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 walikuwa niwa mkataba na uchaguzi mkuu ulipoisha ajira zao zikaisha. Hawa ni vjana ambao aliwaajiri wakati akiwania nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM na aliwatumia pia baada ya kupewa kazi ya mahusiano ya umma kama msemaji wa CCM baada ya Kinana kugundua Nape Nnauye hataweza kutokana na kubanwa kwenye jimbo lake la Mtama wakati akigombea. Kumbuka kambi ya Lowassa alipeleka nguvu za ziada katika jimbo hilo ili kuhakikisha Nape anaanguka.

CCM ya sasa haina hata kitengo cha propaganda. Nape Nnauye alifanya kazi ya kukiondoa na akaelekeza nguvu za uhamasishaji na propaganda kupitia mainstream media.

Hoja ya kusema wanaoajiriwa ni vijana kutoka kanda ya Ziwa ni hisia za kijinga ambazo hata mwenye common sense hawezi kuzikubali kutokana na jinsi ambavyo TISS ilivyo katika muundo wake.

Naona kila mara unampa Bashite nguvu ambazo hana. Ninajua hujui kwa nini Bashite yuko bado serikalini pamoja na makosa yake ya hapa na pale ndio maana unajaribu kumpa sifa ambazo hana ili kuonyesha ana nguvu ndani ya chama na serikalini wakati hana hizo nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu umenena vema. Huyu jamaa anaota kweli. PK katokea wapi?
 
ThugMaster

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,186
2,000
Likely, mimi niko nyuma sana ya wakati...

Hii Make Tanzania Great Again (MATAGA) ni nini?

Nani mwanzilishi wake?

Nini malengo yake?

Ndiyo TISS mpya?

How Tanzania can be made great again?

When was Tanzania small....not great?

Ni kitengo kipya within TISS?

Au ndiyo Murder Squad?

Or Rogue Squad inayosumbua nyakati hizi kwa kuteka na kupoteza watu na sometimes to shoot & kill those who are against "Glorious Pombe" a. k. a The Government?
Ngoja tusubiri wajuvi pengine tunaweza pata majibu ya hayo maswali yako mkuu.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,758
2,000
Mkuu umenena vema...huyu jamaa anaota kweli. PK katokea wapi?
Huyu jamaa huleta thread za kihisia ambazo kama unaujua ukweli utagundua kuwa hajui kile kinachoendelea hata kwenye taasisi ya TISS.

Halafu ukisoma vizuri thread yake katika hitimisho utagundua ni kama anaomba kazi tena katika kitengo!
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,963
2,000
Umeongea point kubwa sana hapo ulipohusisha KITENGO VS CCM = KITU KIMOJA.

Ukweli ni kwamba CCM iko kwa minajili ya kutawala na si kuleta maendeleo Tanzania, hivyo KITENGO na vyombo vingine vipo kutimiza hili. Vyombo vyote vya usalama viko kwa maslahi mapana ya CCM na si vinginevyo.

ZZK aligusia juu ya reform alipuuzwa lakini ukweli umeuweka wazi na umeelezea mambo mengi Watu wanatakiwa wajifunze hasa wazalendo wanaoitakia mema Tanzania na sio wanaoitakia mema CCM.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,963
2,000
Uzi mzuri sana ila ushabiki hauhitajiki, hoja kwa hoja ndio jambo la msingi.
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,214
2,000
Novichok nerve agent.

Jamaa unaomba kazi kwa kutumia mlango wa nyuma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom