1. Mabwanyenye- Matajiri kupindukia, miungudunia
2. Walala heri- kipato cha kati
3. Walala hai- Wana Chakula cha kutosha tu
4. Walala hoi/Makabwela- Maskini, Mshahara kijungujiko,
5. Mafukara/Hohehahe/hawinde /fakiri - maskini kupindukia
Tuendelee kukuza ulumbi