Mataa ya magomeni ni shida ba ni karaha sana

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Sijajua ni nani alibuni upuuzi ule bila kutafakari.na kama ni chombo fulani au mkuu fulani basi tukili ya kwamba haikutumika akili ya kiweledi kutafakari.ni kwamba siku hizi ukitokea k,koo/posta na unaelekea barabara ya kinondoni basi ni lazima unyooshe hadi usalama ukakate kona pale bank ya DCB harafu uanze tena kuja ulikotoka.kisha ukifika pale mataa ndio ukate kona sasa ili uingie barabara ya kuingia knondoni.kero ni kwamba unakuta kutoka fire hadi mapipa kuna foleni,harafu unafika mataa unaambiwa uende usalama ukageuke na kurudi tena mataa.kasheshe ni kwamba ukifika pale usalama unakutana na foleni ya kutoka pale mataa hadi manzese,haya unafika magomeni hospitali tena unakutana na foleni ya pale morocco hotel .kwa hiyo unakuwa ni mtu wa foleni tu..ni uongozi gani ulitoa muongozo wa magari yanayotoka k,koo/posta yanayoelekea barabara ya kupita kinondoni kwenda kugeuzia usalama karibu na Baptist church /DCB ??ni kuleta foleni isiyo na tija mana ni kero kwa sisi ambao kila siku lazima tuende huko mjini na kurudi makwetu.
 
Back
Top Bottom