Maswi kachukua likizo ya kustaafu

Maswi kachukua likizo ya kustaafu

kwani kila taarifa inayotukia hapa nchini lazima uwe nayo? kama unataka ukaione barua yake kwa macho nenda ukamuombe JK atakupatia.

Kwa nafasi yangu, nyingi huwa nazipata!! Ila hii sina.
 
bila shaka atakuwa ameshauriwa na WEREMA afuate mkondo alioufuata ili kuepuka kitanzi. sheria inaruhusu mtu kustaafu kwa manufaa ya umma baada ya kuwa kazini kwa muda wa miaka 15. nenda kasome sheria upya.
Kwa majibu yako, kama hutanii, basi una matatizo ndugu yangu.
 
Sheria ya KUSTAAFU mnaijua sawasawa au mnabisha tu kibongobongo? Mtu akishafanya kazi kwa muda wa miaka 15 anaruhusiwa kustaafu na anastahili kupata pensheni yake kama kawaida. Mmeelewa?

Pole sana .... unazungumzia vitu tofauti; sheria ya pension ya shirika fulani ndio inasema ukifanya kazi miaka 15 unaanza kupewa pension... do not mix up things.
 
Huna cha maana, kustaafu ni kustaafu zingine zote ni sababu.

Kifo ni kifo zinazobaki sababu.

Sasa kama unajua kwamba kila kustaafu kuna sababu zake mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? Au unataka kutuletea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa---kwamba anayepayuka sana ndiye mjuzi hata kama hana hoja?
 
Na rais atampongeza kwa kazi nzuri utumishi uliotukuka serikalini
 
Back
Top Bottom