maswali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maswali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nolakinabo, Feb 16, 2012.

 1. n

  nolakinabo Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kuna serikali nyingi, kuna serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu, kuna serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na serikali zingine.

  Wewe unaulizia serikali ipi mkuu?
   
 3. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unaonaje?
   
 4. n

  nolakinabo Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna serikali ya jamuhuri ya muungano
   
 5. n

  nolakinabo Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman nataka kujiuna na freemason tanzania wanapatikana wapi nipen namba zao
   
 6. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  babu yko hana hzo namba? Mana,ke ni member mzur sana!
   
Loading...