Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

Kwa kuwa mada inamuhusu Nape, naomba tusimzungumzie mtu mwingine.

Mwenye busara hafanyi kujibu kwa lugha ile ile kwa sababu tu mtu fulani katumia hivyo.
Mwengeso, ndilo tatizo la CCM mnaogopa to face the reality and truth! Ulileta wewe mwenyewe kuwa Kumdhihaki mkuu wa nchi, naona umesahau! Have a nice day and enjoy your JF posting with learning intent!
 
Me naona unamaswali matatu tuu:
1. Kuhusiana na madawa ya kulevya
2. Kuhusiana na kutumbuliwa kwa Nape
3. Kuhusiana na uchaguzi wa 2015
 
Sasa hivi ana hasira za maslahi yake na wenzake kuminywa, sifikiri hata kama ameshajua makosa yake kwa jinsi anavyoendelea kutenda maajabu.
 
We si kibaraka, hujiamini au ni njaa inakusumbua, wewe ni mtu hatari! Nape anajiamini, Rais siyo Mungu ni mtu kama wewe na mimi, tumempa nafasi awe kiongozi wetu maana wote hatuwezi kuwa viongozi, siyo Mungu. All MEN are fallible, NO MAN is infallible!
Yes Raisi sio Mungu. Ni mtu kama mimi na wewe mkuu. Ila kimamlaka na madaraka aliyonayo yupo juu ya mimi na wewe. Anaweza akaomba kichwa chako sasaivi na akapelekewa. Lakini wewe huwezi fanya ivyo.
 
Mwengeso, ndilo tatizo la CCM mnaogopa to face the reality and truth! Ulileta wewe mwenyewe kuwa Kumdhihaki mkuu wa nchi, naona umesahau! Have a nice day and enjoy your JF posting with learning intent!

Mimi si mwanachama wa CCM. Nasukumwa kuandika na kijibu mitazamo hasi juu ya utawala. Naamini kuheshimu madaraka,(viongozi) ndiyo nguzo kuu ya maadili mema na utamaduni wa Watanzania. Kuheshimu madaraka moja ya kigezo ni matumizi ya lugha ya staha kufikisha ujumbe, hata kama ni kukosoa, kulalamika au kushauri.

Retired but not "Tired", have a nice day in return.
 
Yes Raisi sio Mungu. Ni mtu kama mimi na wewe mkuu. Ila kimamlaka na madaraka aliyonayo yupo juu ya mimi na wewe. Anaweza akaomba kichwa chako sasaivi na akapelekewa. Lakini wewe huwezi fanya ivyo.
Perfect! Sawa kabisa! MADARAKA ANAYO TENA MAKUBWA KWA KATIBA YETU! Kwa dicteita anaweza kuomba kichwa! That much I agree! Amin OPPONENTS WAKE alikuwa anaviweka kwenye fridge! Madaraka hayo hana ya kuweka kwnye fridge! ya kukata kichwa cha mtu! ana mamlaka ya kuteua na kutengua! Yaliyo ndani ya katiba na sheria. Mengine kama anayafanya ni UDIKITEITA! YA KUKATA KICHWA CHA BEN NI UDIKITEITA
 
Nashindwa kumuelewa Nape! Saizi ndio kakutwa na uchungu mwingi zaidi na wananchi! Au ndo ameshushwa saizi Tanzania kutoka kusikojulikana?
Kutumika na wenye pesa ni shida sana, utauza utu wako na hata kuonekana huna maana tena katika jamii. Ajitafakari upya, siasa anazozifanya sasa ni za chuki na kutoheshimu sera ambazo yeye mwenyewe alihusika katika namna moja ama nyingine katika kuzitengeneza.
Tuamini lipi kutoka kwake? Amekua kigeugeu eti serikali haitendi haki kwa wananchi wake, mara ooh! maisha ya wananchi yamekuwa magumu!
Turejee nyuma kauli za viongozi wa vyama vya sasa hapo siku za nyuma na kuona wanachokiongea sasa ndipo utagundua mtu huyu anafanana na nani na anafanya hayo yote kwa maslahi ya nani?

[HASHTAG]#Katika[/HASHTAG] Awamu ya nne: Rais Kikwete ameshindwa kuwashughulikia Watendaji wazembe, Mafisadi na Wala rushwa,,,,Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Raisi Kikwete, Atakaye Muunga mkono Lowassa katika uchaguzi ndani ya CCM anastahili kwenda kupimwa akiri yake Milembe Hospital,Rais wetu Kikwete anasafiri sana kuliko Rais yeyote Duniani, Tunataka Rais ajaye awe ni mwenye Maamuzi makini na sahihi ya papo kwa papo nasio mpaka tume iundwe. Tunataka Rais ajaye awe ni Dikteta ndio nchi Itakwenda.Mafisadi kwetu ni Mwiko, Serikali ya CCM inawafunga wezi wa kuku halafu inawaacha Mafisadi papa kama Lowassa yanatembea mtaani tu.. Hizi ni Miongoni mwa kauli kutoka kwa viongozi wa Upinzani katika Awamu ya nne.
Mwandazimu kapewa rungu
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Masikini roho yako,hata hukielewi unachokiandika,umedumaa kimawazo na uhalisia wa sheria za utawala bora wenye haki na Usawa,sikulaumu sana ,umo katika wale wenye bongo za samaki,CCM imechangia sehemu kubwa kuidumaza jamii na kukosa kujua haki zake.
 
Mimi si mwanachama wa CCM. Nasukumwa kuandika na kijibu mitazamo hasi juu ya utawala. Naamini kuheshimu madaraka,(viongozi) ndiyo nguzo kuu ya maadili mema na utamaduni wa Watanzania. Kuheshimu madaraka moja ya kigezo ni matumizi ya lugha ya staha kufikisha ujumbe, hata kama ni kukosoa, kulalamika au kushauri.

Retired but not "Tired", have a nice day in return.
Mbona hilo kila mtu mwema analikubali! Lakini kumbuka pia kiongozi ana wajibu wa kutumia lugha staha kwa anaowaongoza! Kisu kikate pande zote Mwengeso! You are very right!
 
Yaani hadi huwa nashindwa kuwaelewa wabongo sijue shule za kata haziwapi elimu japo ya kujitambua, yaani video ya kuvamia imenaswa na CCTV camera lakini Kuna watu hawaamini kama ni kweli. Duuuh
 
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Hoja yako ni nini?mbona maneno yanakutoka tu?
 
Mimi si mwanachama wa CCM. Nasukumwa kuandika na kijibu mitazamo hasi juu ya utawala. Naamini kuheshimu madaraka,(viongozi) ndiyo nguzo kuu ya maadili mema na utamaduni wa Watanzania. Kuheshimu madaraka moja ya kigezo ni matumizi ya lugha ya staha kufikisha ujumbe, hata kama ni kukosoa, kulalamika au kushauri.

Retired but not "Tired", have a nice day in return.
OK, I am pretty fine upstairs! Nilisoma UDSM ya JPM, Buchweishaija supervisor wake nilikuwa namfundisha chemistry, alipokuwa anakwama, nilimtangulia mwaka mmoja!
 
Vibaka wa bk7 hamna shukurani kweli, yaani mumemgeuka paymaster wenu wa zamani kiasi hiki?
 
Sasa hivi ana hasira za maslahi yake na wenzake kuminywa, sifikiri hata kama ameshajua makosa yake kwa jinsi anavyoendelea kutenda maajabu.
Maslahi yapi hayo? Hebu nenda hatua moja mbele tuone kama una uhakika na ulichoandika hapa!
 
Hilo swali la sita umezingua, na kuhusu kama kweli Nape aliwasaidia 2015 ni ukosefu wa shukrani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Nape hana ufahamu wa kuweza kujibu maswali haya. Sanasana akijaribu lazima ajinye..,e
 
Una mapenzi mubashara na Bashite,kwamba huna hakika kama aliyevamia clouds tv ni Bashite na jeshi lake?? uko wapi wewe katika nchi hii tv hupati na simu yako haina uwezo wa kuona youtube nini kiliendelea??
Sidhani kama askari kutimiza kazi yake inaweza kuwa ni kuvami tena wamepita mlango ni suala la muda tu ukweli utajulikana
 
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?

2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)

3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.

4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?

5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?

6. [Color= red]Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?[/color]

7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.

8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!

9. [Color= red] Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?[/color]

10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.

WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!
Hizo sehemu nilizoweka red ndio sehemu ulizonichefua na umeharibu sana
 
Namuona Nape vile kama anakwenda upinzani. Ha ha ha ha
Maana hadi sasa hana hakika kama anaweza pata ubunge tena na uongozi chamani. Apite mchujo chamani na kisha apige bao la mkono wapinzani wawili yani CDM/CUF na serikali. Na kwenye chama wamesha ng'oa mizizi tayari, ndiyo maana wenda anakwenda kwa staili hiyo, tutaona Makongoro Mahanga style mda si mrefu.
 
Back
Top Bottom