kamsi kilelo
Member
- Mar 27, 2017
- 78
- 147
1. Kwa nini Mwenzie Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa alikuwa akitweet VIJEMBE badala ya kuvishauri vyombo vya habari kuongeza ushirikiano katika vita hiyo?
2. Yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo je ni mtu wa kutoa ushauri kwa serikali kupitia Twitter?
Mmmh! hainingii akilini! (kuna analojaribu kutengeneza)
3. Kujiamini na kumdharau BOSI wake kwa pozi (BODY LANGUAGE) ndio maadili ya uongozi?
Sipati picha yeye ndo ungekuwa mkuu! MUNGU AEPUSHE MILELE.
4. Kutembea JUU YA AKINA MAMA kwa elimu yake na ufahamu wake, hata kama ni mila hivi hizo ni mila za kuendeleza KWA ELIMU YAKE?
5. Kuzidisha vijembe kwa serikali ambayo YEYE alikuwa ndani ya BARAZA LA MAWAZIRI kwa miezi 15 alishindwa kuongea huko na kutetea hoja zake hizo au ni kutafuta UMAARUFU WA KISIASA?
6. Mbona Makonda alipovamia studio (hatujui kama ni kweli) alikurupuka kwenda na kumuundia tume ila alipoanzisha VITA NYETI hakushiriki hata kwa kuita waandishi wa habari waliokuwa chini yake ili WAONGEZE NGUVU katika hilo na badala yake AKAWA MTU WA VIJEMBE?
7. Makonda ni MTEULE WA RAIS; Je, alipounda tume aliitaarifu mamlaka yake ya nidhamu? KUTOTAARIFU NI UTOVU WA NIDHAMU.
8. Kama alimtaarifu na kupata baraka REPOTI HIYO ALIPASWA KUISOMA KWA WAANDISHI WA HABARI AMA KUIRUDISHA KWA MAMLAKA YAKE YA NIDHAMU KWA AJILI YA MAAMUZI? Sio taratibu za kazi HATA KIDOGO!
9. Kushindwa kumsapoti Makonda kwenye swala nyeti na KUMKURUPUKIA MPAKA KUMUUNDIA TUME kwenye swala ambalo angemuita ofisini wakaulizana kabla, hakuona kama ni kutudhitishia trend kwamba WANA UGOMVI BINAFSI?
10. Hivi kweli yeye NNAPE NNAUYE ndo aliinua CCM mpaka ikashinda 2015??? Mmmh! Kama hivi ndivyo aende CHAUMA na kishinde 2020 kuthibiisha yeye ni JESHI LA MTU MMOJA.
WASALAAM! NAWAZA ILA MAJIBU NIMEKOSA!