T TEMAKA Member Joined Jun 2, 2015 Posts 23 Reaction score 21 Jan 9, 2026 #1 Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
A Associate Professa JF-Expert Member Joined Jan 8, 2026 Posts 420 Reaction score 552 Jan 12, 2026 #2 sheria ya Marini iko kichwani?
T TEMAKA Member Joined Jun 2, 2015 Posts 23 Reaction score 21 Jan 13, 2026 Thread starter #3 Associate Professa said: sheria ya Marini iko kichwani? Click to expand... Mining policy?
T TEMAKA Member Joined Jun 2, 2015 Posts 23 Reaction score 21 Jan 13, 2026 Thread starter #4 Ndo maswal yanayotoka written?
Mozeal New Member Joined Feb 15, 2025 Posts 2 Reaction score 0 Jan 20, 2026 #5 Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa maswali ya written exam wa Tume ya Madini kitengo cha Technician II (ELECTRICAL) anisadie maana interview za utumishi inasemekana unaweza kuulizwa vitu hata ambavyo havihusiani na fani yako.
Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa maswali ya written exam wa Tume ya Madini kitengo cha Technician II (ELECTRICAL) anisadie maana interview za utumishi inasemekana unaweza kuulizwa vitu hata ambavyo havihusiani na fani yako.