ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,229
Nadhani ujanielewa Kuna watu wemesoma Tax kwenye chuo miaka 2 au 3, halafu Kuna watu wemesoma hiyo Tax semistar 1 au 2, ujuzi wa mambo lazima utakuwa tofauti.mpaka utumishi wakakuita means umesomea ulicho kiomba, ila msaada kuomba sio vibaya watu wako kitaaa mwaka wa tano huu hizo desa anazikumbuka vip, yuko sahihi kuomba msaada