Sasa wenyewe wapo Busy unataka niwaulize eeh! na mimi pia nilikuwa mbio mbio... Nilimuuliza Hapo ndio mwisho wa maswali akasema Ndio... Wewe ulitaka niendelee au nimbishie?? wewe
RGforever hujaacha kunywa Wanzuki! tu
Jinsi unavyoonekana Mlevi Unasema Mwanafunzi huwezi kumuuliza ana mifugo Mingapi? unadhania kuitwa mwanafunzi ni ulofa? watu wanarithi mali Jirani yangu kuna Mwanafunzi anamiliki Nyumba na mali kadhaa alizoachiwa na Wazazi wake Marehemu, kama karani mjinga kama wewe hatauliza ni kosa kubwa kwa kazi aliyopewa.
naona Hangover za Jumapili hazijakuisha! kuna kitu unakitafuta!