Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

Mtahangaika sana lakini haturudi nyuma. Hapa Kazi Tu!!
 
Daah, mkuu CHAMOTO umejibu hoja zote kwa uweledi uliotukuka, Watanzania tuwe makini na watu weupe na tuache ushabiki tu
 
Sioni kama chama kinaweza kuleta tatizo. Mchanga ukiingia jichoni hawatoi jicho. punguza munkari mkuu kila nabii na kitabu chake. Kiongozi sio nabii na asiwe na mapungufu. Mazuri yanayofanywa apongezwe na anayosahau ashauriwe kwa hekima lakini si kwa majina yakukinaisha.
 
Hizo "trillions" zilikuwa za pesa za Zimbabwe? Au za kusadikika?
 
tutawalazimisha, wakikataa waende zao, ndio maneno yetu!
 
aisee hongera mkuu bado unawajibu tu hawa viumbe tena kwa ustaarabu wa hali ya juu, ubarikiwe sana
 
aisee hongera mkuu bado unawajibu tu hawa viumbe tena kwa ustaarabu wa hali ya juu, ubarikiwe sana
Asante.

Wakati mwingine inabidi tuchukuliane taratibu na tueleweshane kidogo kidogo, huwezi juwa... wengine wanapinga kitu kwa kuwa hawana taarifa sahihi.
 
Hoja nzuri but inaupumbavu mwingi sana..

#1..solar ni umeme wakipumbavu sana sijui kwanini mnangangana na huu upuzi wawazungu.
#2..Mazingira yapi wewe unazungumzia, au ndio huo upuzi wa "Paris Agreement" na global worming..?!FAKE
#3..Umeme wa maji ndio umeme pekee dunian wa gharama nafuu..haya masola na mawind mils nimiradi ya wazungu..

Unapoleta mada kama hizi fanya tafiti usije nazo kutafuta ushabiki wa machadema humu..
 
Kongole mkuu, umenyoosha hiyo; kama ni wa kuelewa watakuelewa, kama si wa kukuelewa hawatakuelewa. Wahenga walisema " la kuvunda halina ubani". Tusubiri.
 
Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wote hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi kwa kuwapiga mafisadi chenga/kanzu/tobo kama Okocha vile.

[/QUOTE]
Kwa hiyo tunaikimbia gesi yetu wenyewe kwa sababu ya mikataba? ila gesi ipo na ya kutosha? kwa nini tusitumie nguvu hiyo kubwa kurekebisha mikataba?
 
Nimeipenda hii mada kutokana na jinsi unavyojibu hoja za wadau kwa mapana zaidi. Itakuwa ni aibu sana kama mtu kama wewe sio mwalimu w sekondari/chuo maana unaeleweka vizuri sana.

Kudos bro!
 
Kutokana na Serikal kupandisha kodi kwenye bidhaa za solar na kuwa juu ili kulinda tanesco mimi nimeamua kuunda wind turbine itayotosheleza matumizi yangu ya nyumbani na ofisini kwa kutumia Altenator ya gari 24v DC,ambayo ningeweza ifanya AC kwa Kuunganisha TRANSFORMER na Transistor imara na kupata umeme wa uhakika japo kwetu upepo sio mwingi sana natamani pangekua kwetu ni Mwanga,singida ,tanga maeneo ya mwambao ningeenjoy zaidi ..... Tunza mazingira Yakutunze pia matumizi ya miti ya kisasa nimeyaacha naweka miti ya asili inayoweza stahimili ukame
 
I DONT BLAME YOU, I BLAME YOUR IGNORANCE AND LACK OF INTELLIGENCE
 
Nimeipenda hii mada kutokana na jinsi unavyojibu hoja za wadau kwa mapana zaidi. Itakuwa ni aibu sana kama mtu kama wewe sio mwalimu w sekondari/chuo maana unaeleweka vizuri sana.

Kudos bro!
ulienda shule wewe????
 
THIS PROJECT IS A WHITE ELEPHANT PROJECT PERIOD, hii mradi ni wa kula hela tu, hata by 2030 bado hakutakuwa na umeme wa 2100MW, ni vile hii serikali haina watu weye elimu
 
Kama China hawakusikiliza kelele hiz za mazingira ,wamarekan wameshahari b wanataka waendelee kutuuzia solar na mafuta ,pambavuuu,lazima stiglers ijengwe
 
Hoja zako dhaifu sana, kwahiyo unataka tutumie makaa ya mawe yanayozalisha hewa ya ukaa ili kutunza mazingira?, kwahiyo unataka tusiwape wananchi nishati mbadala ya mkaa na miti ili waendelee kukata miti na kuchoma mkaa? Hapo we ndio unaona utakuwa umetunza mazingira? Hivi nguvu ya upepo ni reliable na itaweza kuendesha viwanda vitakavyohitaji umeme wa uhakika? Unataka tutumie solar kuendesha viwanda? Vipi siku wingu likitanda? Na vipi kuhusu power yake ni sufficient kuendesha mitambo mizito 24 /7 usiku na mchana? Vipi kuhusu gharama zake?
 
Yaani umemaliza kila kitu, yaani umemjibu vile ambavyo mimi ningemjibu, precise and on point. Shikamoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…