Sioni cha kuchangia maana sielewi.labda mtoa mada aweke wazi anataka nini.Hapa naona amewaaminisha kuwa kuna ndege mnyama na ndege chombo cha usafiri.
Naomba mwongoza kutoka kwa mtua ambaye hajachangia mada hii kama ndege ni mnyama au kiumbe hai na ndege mwingine ni chombo cha usafiri tu au ni hata silaha etc.
Kama majibu ni sawa na niliyoandika hapo basi WOTE MMEKURUPUKA(mliochangia kwa kuelezea mechanisms) zake.

Huyu hapa anajaribu kumrithi Kuhani na Dilunga, ila tatizo hana taaluma.
Na Kuhani na Dilunga wana taaluma gani?
BTW, allegations zake kuhusu Dk. Masau ziliishia wapi? Labda wewe alikuweka kwenye loop kwani sisi wengine tulikuwa shut out mapema mno
Dk. Masau ali settle out of court.
No, I meant allegations za Kuhani on whether Dk. Masau is a bona fide heart surgeon or just a quack.
JP,
Niliposoma hapo juu nikasema yes mshikaji amekuja kumwaga nondo kisawasawa. Kumbe mzee umeenda kuzoa nondo za wengine kama zilivyo na kuja kuzimwaga hapa. Nafikiri ulikurupuka kumshambulia Wande amekurupua. Angalau yeye alijaribu kuelezea kwa maneno yake mwenyewe na halafu akatoa hint ya Bernoulli's equation
Swali zuri.
Basi naomba umwage utirio (katika maneno yako) kujibu hilo swali.
19. Kwani hawawaoni ndege walioko juu yao namna wanavyo zikunjua mbawa zao, na kuzikunja? Hawawashikilii ila Mwingi wa rehema. Hakika Yeye ni Mwenye kuona kila kitu1. Uwezo wa Ndege (mnyama) kuweza kuruka na kuelea
Ndege (mnyama) ana viungo gani vya ziada ambavyo vinamwezesha kuruka na kuelea angani?
Kwa nini jamii nyingine ya ndege haiwezi kuelea angani? Mfano, kuku na bata wanaweza kuruka, lakini hawawezi kuelea angani.
Je wataalam waliovumbua ndege (chombo cha usafiri) walidesa kutoka kwa ndege (myama) ili kuwezesha hicho chombo kuelea angani?
Wanasayansia wa JF mpo?