Mimi sikutumiwa email wala sms ila juzi j3 walinipigia mida ya saa moja jioni wakaniambia saa sita na serial number nimepewa. Me nimesoma Public Administration vp ww umesoma hiyohiyo?
Hi! Ifm wana mwongozo wa mavazi na wapo strictly sana...so wanaoenda kwenye interview waangalie...maana kama hujavaa kwa sheria zao unarudia getini...kwa girls hawataki mipasuo na vimini..all the best