Maswali tatanishi kwenye historia ya ulimwengu

Maswali tatanishi kwenye historia ya ulimwengu

Chacha Steven Mokiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
2,011
Reaction score
2,232
Habari za muda mrefu, wakuu. Majukumu ya hapa na pale yameniweka mbali sana na humu. Nimekuwa mtu wa kuingia kusoma nyuzi na maoni ya watu bila kushiriki. Ila leo nina maswali mawili tunaweza jadiliana.

1. Biblia ni maandiko ya kale, ila maisha yanaendelea, kwa maana ya duniani na mbinguni. Ya duniani tunayafahamu kwa updates za cnn, itv au millardayo. Ya mbinguni tutayafahamu vipi? Je kama mbinguni ilitokea vita kuu nyingine na mbingu ikateketea? Au kama utawala wa mwanzo ulipinduliwa? Tutajuaje?

Swali la pili ni la kizushi, ila lina maana ukiliangalia kwa upana. Hivi Yesu angeambiwa aje duniani afe kwaajili yetu ila hakuna kufufuka kama binadamu wa kawaida, angekubali?

Tujadiliane kwa hoja. Sio alimradi umejibu...
 
Mbinguni kinaendelea chochote unachotaka kiendelee.
Ukiamua kuja na episode zako kuhusu kinachoendelea mbinguni, ukajiita nabii ni sawa tu.

Hautakuwa wa kwanza, Binadamu wengi kama wewe na mimi walishafanya hivyo.
List kwa ufupi
Muhamad, Yesu, Paulo, Martin Luther, Ellen G white, Gutham, Nk. Nk.
 
Kwahivo inawezekana mbingu ni nadharia tu kama zilivo kazi za fasihi, sio?
 
Biblia ina majibu yote ya maswali yako. Kwa swali la kwanza ratiba ya kalenda ipo. Soma biblia vyema. Yesu hakufa ila alitoa roho yake na kuirejesha tena.
 
Back
Top Bottom