Future eyes
Senior Member
- May 30, 2022
- 126
- 65
www.out.go.tzUnaweza kuweka tovuti ya chuo kwa msaada zaidi
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
www.out.go.tzUnaweza kuweka tovuti ya chuo kwa msaada zaidi
Tembelea website ya chuo kwa taarifa zaidi.Hivi out Kuna course ya ICT? Ni miaka mingapi Kwa degree?
Wenye majibu tafadhali
Huwezi,lazima u supp tu.Hakunaga kamserereko hapoSamahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp.
Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?.
Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
Ipo Foundation course ambayo kuna masimo ya biology,chemistry na physics jumlisha na communication skills, development studies.ukifaulu hayo kwa wastani wa GPA ya 3.0 unaweza kujiunga na chuo chochote cha afya na inajilikana na TCU kwa taarifa zaidi nenda centre yoyote ya out watakuweka sawa zaidiOpen university wana foundation course yoyote ya afya?
Shukrani mkuu, je nikifaulu kwa kiwango icho naanzia ngazi gani? Diploma au degree?Ipo Foundation course ambayo kuna masimo ya biology,chemistry na physics jumlisha na communication skills, development studies.ukifaulu hayo kwa wastani wa GPA ya 3.0 unaweza kujiunga na chuo chochote cha afya na inajilikana na TCU kwa taarifa zaidi nenda centre yoyote ya out watakuweka sawa zaidi
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ukifaulu ufaulu huo unaendelea na degree hiyo level is equivalent to advanced level yaani form sixShukrani mkuu, je nikifaulu kwa kiwango icho naanzia ngazi gani? Diploma au degree?
Dah umenitoa tongotongo chief, Mwenyezi Mungu akubariki sana.Ukifaulu ufaulu huo unaendelea na degree hiyo level is equivalent to advanced level yaani form six
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sina uhakika na hilo ila sidhani kama wanatoa mikopoDah umenitoa tongotongo chief, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Na je OuT wanapata mikopo toka loan board?