Maswali muhimu kuhusu Lowassa

Maswali muhimu kuhusu Lowassa

Acha ujinga wewe Mpumbavu. Hapo UKAWA nani unamfananisha na Musa wa Israeli??? Lowassa hawezi kuwa kama Musa, Musa hakuwa mwizi wala fisadi kama Lowassa. Ingefaa sana ukimfananisha Lowassa na mpiga filimbi wa Hammelin aliyekuwa akipiga filimbi na mapanya yakimfuta nyuma na watoto wadogo. Matokeo yake wote waliokuwa wakimfuata walitumbukia korongoni.

Kumbe tatizo lako nimelifahamu wewe ndio walewale, umelewa mataputapu ya majizi ya ccm! Huyo kipipa wenu amewadanganya sasa kuwa wote ni wapumbavu nyang'au mbuzi mdogo wewe, nani aliempumbavu kati ya nyie vibaraka wa matajiri huku nyie mkisota na maisha ya bongo, wewe unaweza ukakaribia hata harufu ya utajiri wa 'ridhia uone', mtoto wa bwana yako wa mjengoni? Kibaka kama wewe unapewa nini wakati wenzio wamekula kwa spidi hivyo! Lofa na mpumbavu na pengine ni mngese pia ni ngedere kama wewe mwenye elimu ndogo na vihadithi vyako vya kipumbavu hivyo, mgao huo utabakia ni wa hao bwana nzenu ngedere kama wewe hupewi isipokuwa posho ya kuwapigia kampeni tu labda,
 
Kwa hio unataka tuwaamn hao vigeu geu wako wakina mbowe msigwa na mbatia?

Kama wanaweza hadi kuzgeuka kauli zao ?
Watashindwa kukugeuka ww mwananchi wa kawaida?

Tumuamn lowassa?
Khaaaaaa
Kwan mwaka 2008
Alipoiba akalazishwa ajiuzuru ulikuwa hujazaliwa?

Achen kujitia pamba masikion nyinyi

Hatuwez kuwaamn wanafiki kama wana ukawa

KWANI NAWEWE UMESAHAU MWAKA-2003 PINDI REPORT YA CAG ILIYOSOMWA BUNGENI KUHUSU KASHIFA YA UFISADI WA MAGUFULI WA BILLION.261 KWA UHUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI...AU ULIKUWA HAUJAZALIWA PIA...?????
Hahaahaaa!...kijana inaonekana hujitambui kabisa,kwa kifupi ata huyo Magufuli wako alishakumbwa na kashfa hiyo ya ufisadi wa nyumba za serikali labda wewe kama sio mfuatiliaji wa mambo ndo hulijui hili...SEMA TOFAUTI YAO NI KUWA "RAIS EDWARD LOWASSA" alionyesha ukomavu wake katika uongozi na pia katika kile kilichodaiwa KUMSAVE RAFIKIE JK(NA NDIO MAANA JK HUWA HAZUNGUMZII ISHU YA RICHMOMD AKIWA MAJUKWAANI)...akaamua kujiuzulu ila upande wa MAGUFULI yeye hakujiuzulu bhasiii!,ila kama ishu ni UFISADI...WOTE WANAHUSIKA TENA MAGUFULI YEYE NDO FISADI PAPA MAANA ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI WAKATI MWENZIE "RAIS EDWARD LOWASSA" ALIPIGA BILLION.153 ZA RICHMOND...hivyo usijaribu kutuaminisha kuwa magufuli ni msafi kwa KUMWITA "RAIS EDWARD LOWASSA" ni jizi...sawaaa? NA UNAPOSEMA "RAIS EDWARD LOWASSA" HAENDI IKULU WEWE KAMA NANI LABDA??...MAANA KWA HOJA YAKO YA UFISADI UMEFAIL KABISA NA WATANZANIA HATUWEZI KUKUELEWA KWA KUWA TUMESHUHUDIA KWA MACHO YETU WENYEWE WATU WALIOKUMBWA NA KASHFA ZA UFISADI(CHENGE-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BARIADI,TIBAIJUKA-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI,HIVYO HIVYO KWA NGELEJA NA PROF.MUHONGO) KWENYE REPORTS ZA BUNGE LA KUMI-AWAMU YA NNE CHINI YA UONGOZI WA "KIKWETE" NDO HAO HAO MMEWAPITISHA KWENYE KURA ZA MAONI NA KWASASA WANAGOMBEA UBUNGE...SASA NI BORA KUWAPA NCHI CHADEMA(CHAMA CHENYE FISADI MMOJA "RAIS EDWARD LOWASSA") AU CHAMA CHENYE MAFISADI LUKUKI CCM(Magufuli,Anna Tibaijuka,Prof.Sospeter Muhongo,William Ngeleja,Andrew Chenge)..???,NA KAMA "RAIS EDWARD LOWASSA" NI FISADI MBONA MMESHIDWA KUMSHTAKI MAHAKAMANI THEN AZUILIWE KUGOMBEA URAIS NA NEC KWA KESI HIYO MAANA AMESHAKUWA TISHIO KWA CCM...IKIWA MLIWEZA KUMSHTAKI MRAMBA MAHAKAMANI????...PLEAZ! JIBU VITU KWA HOJA YANI "POINT BY POINT"...
 
Vijisababu vya kijinga visitunyime rais bora

Tunataka strong
Kama ile ya rich monduli
Mtu akawekwa kat akafukuzwa

Sasa magufuli ameiba wap?
Mna kithibitisho gan??

Ebu twenden nA mzalendo magufuli
 
Huna hoja kabisa na ulichoandika inaonesha wazi ndipo uwezo wa akili yako ulipoishia hapo "KWA KUONA KIBANZI KILICHO KWENYE JICHO LA "RAIS EDWARD LOWASSA" BILA KUONA KILICHOPO KWENYE BORITI YA JICHO LA MAGUFULI"...YANI UNASEMA ETI VIJISABABU VYA KIJINGA...SASA BILLION.261 NI SABABU ZA KIJINGA ILA BILLION.153 NDO STRONG NHEE?...ALAFU UNASEMA ETI MAGUFULI KAIBA WAPI WAKATI USHAAMBIWA "ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI KIPINDI ALIPOKUWA WAZIRI WA UJENZI MWAKA 2003"...How come unauliza tena??,ETI MNA KITHIBITISHO GANI...WAKATI REPORT YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI(CAG) ILISOMWA LIVE BUNGENI...INAVYOONYESHA WEWE UMEANZA KUFUATILIA VIKAO VYA BUNGE JUZI AU HUFUATILIAGI ILA USHABIKI MAANDAZI UMEKUJAA...PIA WEWE NI KIZAZI CHA DOTCOM SASA UNATAKA KUTUSHIKA MASIKIO WATU WAZIMA HAPA...ETI "TWENDENI NA MZALENDO MAGUFULI"...Hahaahaaa! nenda nae mwenyewe hadanganyiki mtu hapa shenzi.
 
Vijisababu vya kijinga visitunyime rais bora

Tunataka strong
Kama ile ya rich monduli
Mtu akawekwa kat akafukuzwa

Sasa magufuli ameiba wap?
Mna kithibitisho gan??

Ebu twenden nA mzalendo magufuli

Huna hoja kabisa na ulichoandika inaonesha wazi ndipo uwezo wa akili yako ulipoishia hapo "KWA KUONA KIBANZI KILICHO KWENYE JICHO LA "RAIS EDWARD LOWASSA" BILA KUONA KILICHOPO KWENYE BORITI YA JICHO LA MAGUFULI"...YANI UNASEMA ETI VIJISABABU VYA KIJINGA...SASA BILLION.261 NI SABABU ZA KIJINGA ILA BILLION.153 NDO STRONG EEEHE?...ALAFU UNASEMA ETI MAGUFULI KAIBA WAPI WAKATI USHAAMBIWA "ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI KIPINDI ALIPOKUWA WAZIRI WA UJENZI MWAKA 2003"...How come unauliza tena??,ETI MNA KITHIBITISHO GANI...WAKATI REPORT YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI(CAG) ILISOMWA LIVE BUNGENI...INAVYOONYESHA WEWE UMEANZA KUFUATILIA VIKAO VYA BUNGE JUZI AU HUFUATILIAGI ILA USHABIKI MAANDAZI UMEKUJAA...PIA WEWE NI KIZAZI CHA DOTCOM SASA UNATAKA KUTUSHIKA MASIKIO WATU WAZIMA HAPA...ETI "TWENDENI NA MZALENDO MAGUFULI"...Hahaahaaa! nenda nae mwenyewe hadanganyiki mtu hapa shenzi.
 
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.

1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu “MAKINI” wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa “ANAUCHUKIA” umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda “KUJIOSHEA” wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-

a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya “TAJIRI” na “MASIKINI”. Hakuna huo urafiki, haupo.

b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni ‘MASIKINI WA KUFIKIRI’ na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.

c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu “MAKINI” tukuelewe.

2. Kwa nini Lowassa ameng’ang’ania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?

Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya “NACHUKIA UMASIKI” wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.

Katika hoja yako nitakujibu kipengele 'C' pekee ndiyo nilichokisoma mengine sikuyasoma.
Tunaposema ajira hatumaanishi woote tukae T.R.A. au Central Bank. Hapana viti havitatosha, lakini tunaweza kuajiri watu kwa awamu. Kama mataifa mengine wanavyofanya. Mfano.
Hebu fikiria kama jeshi lingekuwa linaajiri watu kwa miaka kumi kumi. Unatumikia miaka kumi. Unastaafu kisheria unalipwa kiinua mgongo chako uende ukafanye mambo mengine. Tayari fedha unayo. Kwa kiasi kikubwa sana ingepunguza 'sio kumaliza kabisa' lakini ingepunguza sana hili tatizo na tungekuwa na raia wa namna gani pata picha.
Pili kwenye kilimo. Fikiria hao wahitimu wa chuo kikuu wamesoma kilimo, (fikiri kama mimi hivi, wachukue vijana mia tano mtaji. Wape pesa mfano mil mia tano kila mmoja, peleka porini huko Handeni au wapi popote ambapo pana ardhi yenye rutuba nzuri na kuna mito ya maji.) wapewe magari (malori)ya kubeba pembejeo na pia kuleta mazao mjini kuuza. Wape matrekta ya kulimia. Halafu baada ya miaka 2 kawakague. Tangaza adhabu ya 'kifo' kama utamkuta kafilisika.
Kwanza wataajiri watu kufanya kazi mashambani, pili hapatatokea njaa, na uchumi wa taifa utainuka sana. Nakuhakikishia tunao uwezo wa kujitegemea. Na kuwa na kila kitu kwa ziada. Sisi sio ombaomba.
Fikiri nje ya boksi.
 
wew umerogwa na tena ni mgonjwa hujitambui.
ikulu sio ya mamaako.

utavimba upasuke lakini kaa ukijua lowassa ndio rais wako.

Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
 
KWANI NAWEWE UMESAHAU MWAKA-2003 PINDI REPORT YA CAG ILIYOSOMWA BUNGENI KUHUSU KASHIFA YA UFISADI WA MAGUFULI WA BILLION.261 KWA UHUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI...AU ULIKUWA HAUJAZALIWA PIA...?????
Hahaahaaa!...kijana inaonekana hujitambui kabisa,kwa kifupi ata huyo Magufuli wako alishakumbwa na kashfa hiyo ya ufisadi wa nyumba za serikali labda wewe kama sio mfuatiliaji wa mambo ndo hulijui hili...SEMA TOFAUTI YAO NI KUWA "RAIS EDWARD LOWASSA" alionyesha ukomavu wake katika uongozi na pia katika kile kilichodaiwa KUMSAVE RAFIKIE JK(NA NDIO MAANA JK HUWA HAZUNGUMZII ISHU YA RICHMOMD AKIWA MAJUKWAANI)...akaamua kujiuzulu ila upande wa MAGUFULI yeye hakujiuzulu bhasiii!,ila kama ishu ni UFISADI...WOTE WANAHUSIKA TENA MAGUFULI YEYE NDO FISADI PAPA MAANA ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI WAKATI MWENZIE "RAIS EDWARD LOWASSA" ALIPIGA BILLION.153 ZA RICHMOND...hivyo usijaribu kutuaminisha kuwa magufuli ni msafi kwa KUMWITA "RAIS EDWARD LOWASSA" ni jizi...sawaaa? NA UNAPOSEMA "RAIS EDWARD LOWASSA" HAENDI IKULU WEWE KAMA NANI LABDA??...MAANA KWA HOJA YAKO YA UFISADI UMEFAIL KABISA NA WATANZANIA HATUWEZI KUKUELEWA KWA KUWA TUMESHUHUDIA KWA MACHO YETU WENYEWE WATU WALIOKUMBWA NA KASHFA ZA UFISADI(CHENGE-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BARIADI,TIBAIJUKA-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI,HIVYO HIVYO KWA NGELEJA NA PROF.MUHONGO) KWENYE REPORTS ZA BUNGE LA KUMI-AWAMU YA NNE CHINI YA UONGOZI WA "KIKWETE" NDO HAO HAO MMEWAPITISHA KWENYE KURA ZA MAONI NA KWASASA WANAGOMBEA UBUNGE...SASA NI BORA KUWAPA NCHI CHADEMA(CHAMA CHENYE FISADI MMOJA "RAIS EDWARD LOWASSA") AU CHAMA CHENYE MAFISADI LUKUKI CCM(Magufuli,Anna Tibaijuka,Prof.Sospeter Muhongo,William Ngeleja,Andrew Chenge)..???,NA KAMA "RAIS EDWARD LOWASSA" NI FISADI MBONA MMESHIDWA KUMSHTAKI MAHAKAMANI THEN AZUILIWE KUGOMBEA URAIS NA NEC KWA KESI HIYO MAANA AMESHAKUWA TISHIO KWA CCM...IKIWA MLIWEZA KUMSHTAKI MRAMBA MAHAKAMANI????...PLEAZ! JIBU VITU KWA HOJA YANI "POINT BY POINT"...

Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
 
Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu

Hahaahaaa!...unajisumbua wewe na muda unaotumia kuandika MAGAZETI YAKO ni bora ungetulia zako usuburi tu hiyo OCTOBER-25TH ifike ukampe huyo magufuli wako kura yako isiyo na madhara kwa UKAWA kuliko kudhani kuandika MAGAZETI MAREFU HAPA JF KUTABADILI MIND YANGU NA ZA WATU WENGINE WAPENDA MABADILIKO MAANA NASHANGAA UNAONGEA NONSENSE KABISA YANI WEWE KUKAA KWAKO KOTE NA HICHO ULICHOANDIKA...UNAONA UNAFKI WA SUMAYE TU HAPO JUZI KUHAMIA UKAWA SIO?...WAKATI NYINYI MACCM JUZI TU MLIKUA MNAKOLEZA NA KUSHADADIA MANENO YA BUTIKU ALIYOYASEMA KWENYE MDAHALO PALE UBUNGO-PLAZA KUHUSU "RAIS.EDWARD LOWASSA"...TENA MLIKOMALIA KABISA NA MKAONA NI SAWA KABISA KUMBE "MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU" ENHEE??...MMESHINDWA KUMUONA BUTIKU NI "MNAFKI ALIYEBOBEA" PALE ALIPOJIFANYA KUELEZEA MABAYA YA "RAIS.EDWARD LOWASSA" kwa kusema eti alikuwa ni mwanamtandao miongoni mwa watu 10 walokuwa wanaangamiza chama...SASA SWALI ZURI NI KUWA "KWANINI ASINGEYASEMA YOTE HAYO PINDI "RAIS.EDWARD LOWASSA" AKIWA CCM ILA TU AMEYASEMA YALE BAADA YA "RAIS.EDWARD LOWASSA" KUHAMIA UKAWA KWANINI???...NA NYIE MACCM MKASHADADIA MANENO YA BUTIKU BILA KUONA UNAFKI ALAFU LEO HII MNAKUJA KUSEMA HAPA UNAFKI WA SUMAYE TU...NANI ATAWAELEWA NYIE????...KIUKWELI MMECHANGANYIKIWA MNATAFUTA PAKUSHIKILIA SIO SIRI...MAANA HAMNA JIPYA BADO MNAKUJA NA KELELE ZILEZILE ZA MWAKA-2005 NA 2010 ETI UPINZANI WANAUKANDA?????...ETI WHY TOP-LEADERS WA UKAWA NI WA KASKAZINI IVI UNAJIELEWA KWELI WEWE??????...MAANA UNATUDANGANYA IKIWA TUNAONA KUNA "MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA-PROF.ABDALLAH SAFARI SIO WA KASKAZINI,NAIBU KATIBU WA CHADEMA-SALUMU MWALIM SIO WA KASKAZINI,KATIBU MWENEZI WA CHADEMA-MNYIKA SIO WA KASKAZINI,MAKAMU WA RAIS MTARAJIWA-JUMA DUNI-SIO WA KASKAZINI NA VIONGOZI WENGI TU WA CUF SIO WA KASKAZINI"...THEN IWEJE USEME ETI UKAWA WANA-UKANDA???????...YANI JARIBU KUTAFUTA PROPAGANDA NYINGINE ZA KUENEZA NA SIO HIZO KWANI ZIMESHAFELI HIZO,KWA KIFUPI MMEKWISHA NYIE MTAZUSHA YOTE MARA UKANDA MARA UDINI..!
 
Kawadanganya vijana eti kila mmoja atampa utajiri kama zawadi za X-mas ..hivi maisha mtu unapewa kama shati la sikuu?

Pesa sio lazima upewe mkononi .
Hata kutengeneza ajira ni bora kuliko kumpa mtu pesa.

Tunamtaka Lowasa ili kufufua viwanda vilivyokufa, hatimaye vijana wetu kupata pesa kwa njia ya ajira.
 
Kuna wasomi wengi sana wanampenda Edo!
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.

1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu “MAKINI” wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa “ANAUCHUKIA” umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda “KUJIOSHEA” wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-

a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya “TAJIRI” na “MASIKINI”. Hakuna huo urafiki, haupo.

b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni ‘MASIKINI WA KUFIKIRI’ na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.

c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu “MAKINI” tukuelewe.

2. Kwa nini Lowassa ameng’ang’ania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?

Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya “NACHUKIA UMASIKI” wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
 
Kumbe tatizo lako nimelifahamu wewe ndio walewale, umelewa mataputapu ya majizi ya ccm! Huyo kipipa wenu amewadanganya sasa kuwa wote ni wapumbavu nyang'au mbuzi mdogo wewe, nani aliempumbavu kati ya nyie vibaraka wa matajiri huku nyie mkisota na maisha ya bongo, wewe unaweza ukakaribia hata harufu ya utajiri wa 'ridhia uone', mtoto wa bwana yako wa mjengoni? Kibaka kama wewe unapewa nini wakati wenzio wamekula kwa spidi hivyo! Lofa na mpumbavu na pengine ni mngese pia ni ngedere kama wewe mwenye elimu ndogo na vihadithi vyako vya kipumbavu hivyo, mgao huo utabakia ni wa hao bwana nzenu ngedere kama wewe hupewi isipokuwa posho ya kuwapigia kampeni tu labda,

Wewe unapewa nini na akina MBOWE na LOWASSA??? Wewe umepewa nini lofa wewe?? Sihitaji kupewa chochote na CCM na nitaipigia kura tena ili irudi madarakani. Najitosheleza kwenye maisha yangu na wala sitegemei siasa ili niishi ndio maana silii njaa kama wewe. Natumia akili zangu kuishi maisha bora na sidanganyiki na wanasiasa uchwara kama akina Lowassa ambao wanawadanganya hopeless people kama wewe. Ukiwa hopeless lazima udanganyike na kuona CCM ni mbaya. Mtaishia kuilaumu CCM wakati maisha yenu mngeweza kuyatengeneza vizuri kwa kutumia akili zenu. Tatizo lenu mnaishia kunywa viroba halafu mnafikiri mtafanikiwa kwenye maisha kwa kuindoa CCM madarakani. Pumbavu kabisa ninyi MALOFA hamna akili kichwani. Ndio maana akina Mbowe kwa kujua ujinga wenu wanawageuza kama samaki, jana mliambiwa hivi mkashangilia, leo mnaambiwa hivi mnashangilia bila hata kuhoji. Vilaza wakubwa ninyi.

PUMBAVU KABISA WEWE!
 
MAIGIZO KWENYE MAISHA YA WATU NI DHAMBI MBAYA NA AIMPENDEZI MUNGU.

Mkapa was one of the intellegent president ambae anauwezo mkubwa sana kiufahamu kuwaita SASA LOWASA NA SUMAYE WAPUMBAVU NA MALOFA.

HAKIKA mtu mwerevu akifikia kutumia TERMS za aina hiyo basi ujue kamdharau mhusika kupewa terms hizo yani hana tofauti na yule jamaa wa ile picha iliotoka jamaa anafanya maneno na ile kitambaa ya Ukawa.

Manake mtu kuitwa Mpambavu ni extreme ya wajinga kwa kuwa imemchukua Mzee Mkapa 10 years kumtrain Sumaye aka ZERO ...Lakini with all training on how to be a true Leader bado uziro umetamalaki.

Sasa ona mwingine nae watu wanasubilia utoe llani yenu watu wajue nini mtafanya anaingia kwenye madaladala kwenda kutafuta scrip ya uwezo wa akili yake ya kikomed.

Hata kina joti wanawakilisha ujumbe ..sasa kupanda daladala katika zama za kutoweza hata kupunga mkono leo toka miaka ya Pesa ya kukwapua kwa Baba na kununua Voku...ujapanda daladala leo hii kuja kusanifu maisha ya watu wa chini kama si kumchokoza Mungu si upunguani huo.

Haya kama wanazani maisha ya watu ufanyiwa majaribio msemo wa Mrisho...haya ngoja tuone wao na dhihaka kwa Muumba kupanda na kuenjoy usanii wa kinafiiki na kuwafanya Watanzania wajinga ni watu wa kudanganywa kama watoto wadogo.

Kila mtanzania angependa kuwa na Private Car yake ama usafiri wa umma ulio bora na kisasa usio na msongamano na hivyo mtanzania huyo kwa usafiri wa yeye na familia yake.kuwa wa kistaarabu na afya .

Lakini kwa kuwa MAFISADI wamekwapua na kusafisha cha umma kuwa chao ..sasa wanakufuru kwenda kuwananga kwa roho walio wakwapulia NASEMA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIA.

WAO WAENDELEE KUMDHIHAKI MUNGU.
 
Lowasa nampenda ndo maana simpi kura yangu.. Nataka apumzike atibiwe ili aweze kuishi mda mrefu zaidi...

Ukimpenda lowasa huwezi kumpa kura... Ukiwa na rafiki yako mgonjwa kama lowasa sidhani kama unaweza kumpa kazi au jukumu zitto alisimamie...ukifanya hivyo utakuwa humpendi rafiki yako kwa dhati.

#okoa maisha ya lowasa kwa kumyima kura#
 
Muombe Mungu akupe kiongozi bora

Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi

Kwnn anataka sana urais

Huyo atakuwa ana tamaaa

Visasi

Kurudisha gharama zake za uchaguzi

Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
 
Kifupi tu.. hatuitaki CCM yako.

Back
Top Bottom