Maswali muhimu kuhusu Lowassa

Maswali muhimu kuhusu Lowassa

JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..



Magufuli
Magufuli
Magufuli

Umeona eheeee! N noumer
 
Mimi nilipofika na. C nikakuta unasema Tatizo la Ajira kwa Vijana halutatuliki kwa namna yoyote nikajua kiwango chako cha ufahamu. Sishangai, watu wa aina yako wapo tu.
 
Tatizo la UKAWA ni kuaminika mbaya zaidi wamemchagua mtu ambaye haaminiki
 
Umeongea hivyo kwasababu hujui maana harisi ya demekasia na faida zake katika ya maisha na dunia ya sasa inahitaji demokrasia zaidi

Ulisha wahi kujiuliza hata siku moja ni kitu gani unafaidika kutoka kwenye nchi yako?
 
Kawadanganya vijana eti kila mmoja atampa utajiri kama zawadi za X-mas ..hivi maisha mtu unapewa kama shati la sikuu?
 
"Ccm iko salama wachawi wote wameshaondoka"

Jk

Twende na magufuli 2015
 
Watanzania Tulipofikia na CCM likiwekwa jiwe na CCM nachagua jiwe.
 
Usifanye hivyo piga kura ujui labda hiyo kura yako moja ndo ushindi kwa mgombea
Uliye mteuwa
 
Makongoro: Kuna yule kaka yangu mmoja nasikia afya yake sio nzuri tumuache kwanza. Kuna yule wa jana kajileta kwenye chandimu. Miaka kumi iliyopita Sumaye aliingia kwenye tano bora lakini akashindwa na Jakaya. Miaka kumi baadae tano bora hakuingia.

Sumaye yeye mkali, akatuambia mkimpa Lowassa hiki chama kugombea Urais mimi ntahama, shida ya uongo kuusema rahisi, kuukumbuka tabu. Mbona sasa yeye ameenda kumkumbatia Lowassa, tumueleweje! Nawaheshimu lakini sio rafiki zangu, kama wanaongopea watu, mimi lazima nikuambieni.

Mwinyi: Maneno yaliyosemwa hapa na waliotangulia wote pamoja na waadhi aliotupa mheshimiwa Warioba, tuusikilize sana na mimi nakuombeni nanyi msikilize yaliyosemwa, hakuna haja ya kukumbushana ukubwa wa CCM. Tazama hii leo, kutokana na baadhi ya waliokuwa CCM, wenzetu wapinzani wamepata nguvu zao, inaelekea vyama vya upinzani wameona ili waweze kufanikiwa, shurti waazime.

Wengine wameenda hivi jana wameenda na wamesema wazi wanaenda kuifundisha jinsi ya kuishinda CCM. Kumbe kuna CCM mbili, CCM A na B, A ni hii hapa na B mmeisikia. Kama CCM A ipo, B ya kazi gani. Unawezaje ukaiacha CCM A halafu ukaipe kura CCM B maana yake nini, kuna watu wanaenda kupeleka ufundi alioupata kutoka CCM A, mtu haachi fundi akapokea mwanafunzi.
Kikwete: Mmoja kaenda jana eti kaenda kuimarisha CCM B, mwingine sijamuelewa kabisa. Nawashangaa eti anaenda kwenye chama na kusema hamna mtu wa kuongoza, huyu mtu anawadharau. Kuna mgombea urais ni kama ana sera zake binafsi maana ni kama hazifanani na chama.
 
Ndo maana kwenye timu ya kampeni taifa amewekwa dkt mwakyembe
Na samwel sita
Wanajua wizi wote wa huyo mzee wenu
Na hamtatudanganya kitu

Na kiboko yenu Makongoro
Hahahhahah

Mwaka huu ikulu mapema asubuhi tu

Na ndio maana mwaka huu ni lazima tuwaangushe mmetoka jeshi zima kama jeshi la farao linavyowafuata wana israel katikati ya bahari ya shamu, ni lazima mfe kwa mafuriko ya bahari ya maji chumvi jeshi lenu zima, nyang'au nyie! Mafarao kifo cha maji ndio stahili yenu, hamponi ndani ya bahari hii mnayodhani mtaivuka na vigari vyenu hivyo ,ni vifo vyenu sasa, UKAWA JUU! MUSA OYEEEE!
 
Sikiliza ndugu yangu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na ukadhani wote tunapaswa kufanana na wewe.

Hapo kwenye RED kunaonesha ukomo wako wa fikra. Tanzania ina ardhi kubwa kiasi gani isiyotumika mpaka useme tatizo la ajira halitatuliki? Au MADESA yanakufanya ufikiri Buguruni tu unapoishi?

Jiji la Dar es Salaam peke yake, lina watu walio kwenye ajira isiyo rasmi si chini ya 1,800,000. Watu hawa wote hawalipi kodi, au hata wale wanaolipa ushuru huishia kwenye posho za vikao vya Halmashauri. Nakupa tu changamoto, tafuata calculator unihakiki.

Watu 1,800,000 walipe just 1000 kwa wiki kutoka kwenye biashara zao za Mama Ntilie, Boda Boda, Mitumba, Mihogo, Samaki n.k = 1,800,000,000. (1.8bn)

Hiyo Bilioni moja nukta 8, izidishe kwa wiki 4, yaani iwe mwezi. Hapa utapata 7.2bn, sasa assume 1.2bn ziishie kwenye gharama za makusanyo, kwamba tumebaki na 6bn. Kama una uwezo wa kukusanya 6bn kwa mwezi na ukazirudisha pale pale zilipokusanywa kwa mandeleo ya waliozichanga (zingatia kwamba kodi ikiwa ndogo huwa rafiki) basi kuna kitu kinaweza kufanyika.

Kwa mwezi mmoja, tunaweza kununua nyumba 10 zilizo karibu na vituo vikuu vya daladala, kuzibomoa na kujnga soko la kutosha wafanyabishara 300. Kama leo tukijenga Temeke, mwezi ujao itakuwa zamu ya Keko, by the way, hata masoko mawili yanaweza kujengwa kwa mwezi mmoja. Ukiweza kuwawekea paa watu uliokuwa unawachaji 1000 kwa wiki, unayo basi sababu ya kuwachaji 2000 kwa wiki.

Nikukumbushe pia, ni nchi hii ndio kinara wa kugombania mazao na wakulima ilhali serikali haina mashamba yake. Huko ndio kwenye ajira hasa, lkn MADESA yanawafanya muamini kwamba kamwe haiwezekani.

Kuhusu kwa nini fulani anang'ang'ania madaraka, hili ni swali la kuwauliza CCM pia. Kama kwa miaka yote serikali ya chama kile kile ipo madarakani, mbinu zake ni zile zile za kuongeza kodi kwenye BIA na SIGARA na kukamua P.A.Y.E bila huruma, kwa nini wasifikirie kukaa pembeni?

'Chama kilichomlea'......how pathetic? Yaani wewe unaishi kwa fatherhood sympathy? Amsha kichwa ndugu yangu. Hii nchi haikupaswa watu kuuana sababu ya ardhi.

Pamoja sana mkuu, huu ni muda wa maintellectual mambo yanawezekena , kwa wanaotumia akili, ndio maana wenzetu wanajenga mpaka hoteli za kitalii kwenye anga la juu, waliokubali kutumia akili zao badala ya kutumia MAKALIO, hivi kama kweli hayo uliyosema hapo tu wao hawawezi kuyaona watatupeleka kwenye hatua ya kuwa na satelite zetu wenyewe hawa nyang'au wa ccm kweli!
 
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..



Magufuli
Magufuli
Magufuli

Ni kawaida ya mafreemason kuwa makini na namba, mnategemea kuwapumbaza watu kwa ushirikina wa aina nyingi ukiwemo wa namba, lakini kumbuka kuwa uchawi wote huroga akili (SOMA GALATIA 3:1), siku unaowaroga wakipata akili zao tena hata ungeroga kwa kutumia tupu ya aliekuzaa licha ya tarehe yako ya kuzaliwa tu, haupandi ikulu ya magogoni ng'ooooooo!
 
Chadema inafananishwa na mimba ya changudoa kila mwanaume anaambiwa ni ya kwake, masikini dakta slaa pamoja na ufukara ameitunza mimba kwa gharama kubwa,ghafla kajitokeza mume tajiri lowasa kwa bashasha anaambiwa mimba ni yake!!?ooh masikini dakta slaa katoswa ama kweli penzi la fukara halina thamani mbele za watu.
 
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi

Kwnn anataka sana urais

Huyo atakuwa ana tamaaa

Visasi

Kurudisha gharama zake za uchaguzi

Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu

Kama kweli anauchukia umaskini kiasi hicho angeanza kuitenganisha monduli na wilaya nyingine kimaendeleo,kama ameshindwa kutoa umaskini nyumbani kwao nchi ataiweza?
 
Bado sijaona wa kunishawishi niipigie ccm kura, hata angesimama malaika jukwaani, amwage sera kupitia ilani ya ccm...... Never bora nisipige kura nijue sijamchagua
 
Kwa hio unataka tuwaamn hao vigeu geu wako wakina mbowe msigwa na mbatia?

Kama wanaweza hadi kuzgeuka kauli zao ?
Watashindwa kukugeuka ww mwananchi wa kawaida?

Tumuamn lowassa?
Khaaaaaa
Kwan mwaka 2008
Alipoiba akalazishwa ajiuzuru ulikuwa hujazaliwa?

Achen kujitia pamba masikion nyinyi

Hatuwez kuwaamn wanafiki kama wana ukawa

Mkuu shida ya hawa wenzetu sio kama hawaujui ukweli, wanajua kabisa Lowassa ni fisadi, kigeu geu, ndumilakuwili, mgonjwa, na ni mwenye uchu wa madaraka, lakini sababu ya viroba inakuwa ngumu sana hawa jamaa kukuelewa. Lakini hilo lisikutie hofu, Watanzania makini tusiotumia viroba tupo wengi sana na tunatosha kabisa kumpeleka Dk. Magufuli Ikulu. Usiwe na wasiwasi mkuu, nchi iko kwenye mikono salama kabisa.
 
Bado sijaona wa kunishawishi niipigie ccm kura, hata angesimama malaika jukwaani, amwage sera kupitia ilani ya ccm...... Never bora nisipige kura nijue sijamchagua

Kupiga kura ni hiari yako, kumchagua kiongozi unayemtaka pia ni hiari yako. Lakini fahamu kwamba, upige kura, usipige kura, Magufuli atakuwa rais wako tu. Upende, usipende CCM wanarudi tena madarakani.

Ni kama Jogoo tu, "awike asiwike, kutakucha tu"
 
Gharama zakujiunga UKAWA

Mil 10- Unapewa nafasi yakugombea udiwani

Mil 50- Unapewa uongozi ndani ya UKAWA bila jimbo

Mil 100- Unapewa jimbo utakalo

1 Bil- Unahaidiwa mamlaka kwenye serikali ijayo ya Ukawa (Uwaziri uutakao)

200 Bil- Tunakupa chama chote (Ukipenda njoo na viongozi wako)

GPM
 
Na ndio maana mwaka huu ni lazima tuwaangushe mmetoka jeshi zima kama jeshi la farao linavyowafuata wana israel katikati ya bahari ya shamu, ni lazima mfe kwa mafuriko ya bahari ya maji chumvi jeshi lenu zima, nyang'au nyie! Mafarao kifo cha maji ndio stahili yenu, hamponi ndani ya bahari hii mnayodhani mtaivuka na vigari vyenu hivyo ,ni vifo vyenu sasa, UKAWA JUU! MUSA OYEEEE!

Acha ujinga wewe Mpumbavu. Hapo UKAWA nani unamfananisha na Musa wa Israeli??? Lowassa hawezi kuwa kama Musa, Musa hakuwa mwizi wala fisadi kama Lowassa. Ingefaa sana ukimfananisha Lowassa na mpiga filimbi wa Hammelin aliyekuwa akipiga filimbi na mapanya yakimfuta nyuma na watoto wadogo. Matokeo yake wote waliokuwa wakimfuata walitumbukia korongoni.
 
Back
Top Bottom