Maswali muhimu kuhusu Lowassa

Maswali muhimu kuhusu Lowassa

hahaahaaa!...unajisumbua wewe na muda unaotumia kuandika magazeti yako ni bora ungetulia zako usuburi tu hiyo october-25th ifike ukampe huyo magufuli wako kura yako isiyo na madhara kwa ukawa kuliko kudhani kuandika magazeti marefu hapa jf kutabadili mind yangu na za watu wengine wapenda mabadiliko maana nashangaa unaongea nonsense kabisa yani wewe kukaa kwako kote na hicho ulichoandika...unaona unafki wa sumaye tu hapo juzi kuhamia ukawa sio?...wakati nyinyi maccm juzi tu mlikua mnakoleza na kushadadia maneno ya butiku aliyoyasema kwenye mdahalo pale ubungo-plaza kuhusu "rais.edward lowassa"...tena mlikomalia kabisa na mkaona ni sawa kabisa kumbe "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" enhee??...mmeshindwa kumuona butiku ni "mnafki aliyebobea" pale alipojifanya kuelezea mabaya ya "rais.edward lowassa" kwa kusema eti alikuwa ni mwanamtandao miongoni mwa watu 10 walokuwa wanaangamiza chama...sasa swali zuri ni kuwa "kwanini asingeyasema yote hayo pindi "rais.edward lowassa" akiwa ccm ila tu ameyasema yale baada ya "rais.edward lowassa" kuhamia ukawa kwanini???...na nyie maccm mkashadadia maneno ya butiku bila kuona unafki alafu leo hii mnakuja kusema hapa unafki wa sumaye tu...nani atawaelewa nyie????...kiukweli mmechanganyikiwa mnatafuta pakushikilia sio siri...maana hamna jipya bado mnakuja na kelele zilezile za mwaka-2005 na 2010 eti upinzani wanaukanda?????...eti why top-leaders wa ukawa ni wa kaskazini ivi unajielewa kweli wewe??????...maana unatudanganya ikiwa tunaona kuna "makamu mwenyekiti chadema-prof.abdallah safari sio wa kaskazini,naibu katibu wa chadema-salumu mwalim sio wa kaskazini,katibu mwenezi wa chadema-mnyika sio wa kaskazini,makamu wa rais mtarajiwa-juma duni-sio wa kaskazini na viongozi wengi tu wa cuf sio wa kaskazini"...then iweje useme eti ukawa wana-ukanda???????...yani jaribu kutafuta propaganda nyingine za kueneza na sio hizo kwani zimeshafeli hizo,kwa kifupi mmekwisha nyie mtazusha yote mara ukanda mara udini..!

pole jibu ni 25/10/2015 hakuna namna mtanyooka tu.
 
CCM na hewa mi napeleka kura kwa hewa..!! CCM ni zaidi ya Ebola katika jamii.
 
Back
Top Bottom