Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 10,424
- 12,139
Siku zote nawaambia vijana wa UKAWA akili chache
Ona sasa huyu mchumia pesa anayoyaongea
Nonsense
Toen hoja kwa hoja
Jibu hoja zangu hapo
Nmesema lowasa mgonjwa
Mnafiki
Mwizi wa rasilimali ameiba ranchi ya taifa na kuwapa wamasai wenye ng'ombe zake had ndugu zetu wakulima na wafugaj wanauana
Mwz
Aliiba kwenye Richmond
Bunge zma likathbitisha hilo
Na akawajibishwa .
Njoon na hoja
Sio kama za huyo mchumia pesa
Nenda upime leo ukikutwa mzima 100% uje nikupe hela unazotaka...
Wizi wake ulitungwa bungeni ili tu kuiokoa serikali dhaifu ya Kikwete...
Na ni wabunge hao hao walithibitisha kuwa Mhe. Lowassa akuwa ameiba hata senti tano za Richmond...
Rais dhaifu Kikwete naye pamoja na serikali yake walimsafisha...
Na je tangu aondoke 2008 wizi umeisha...?? Nijibu...?? Na kama bado wizi upo nani sasa ni mwizi aloondoka au wanaoendelea kuwa kwenye system...??
Mnatuibia sisi wananchi kwa siri alafu mnakuja kuaibishana hadharani... Majizi makubwa nyie....
CCM kichaka cha majizi ndo maana mnajificha huko ili matendo yenu haramu yasijulikane....
Eti unafiki; Mnafiki atakuwa nani zaidi ya Mwenyekiti wenu ...
Mdhaifu, mnafiki, mzandiki, tapeli mkubwa sana yule...
Yeye ndo mwizi nambari 1; kaingia maskini anatoka akiwa tajiri...
Kalewa sifa anataka hadi kushindana na waliombeba kwa mbeleko...
Au ndo maskini akipata makalio hulia mbwata mbwata....
Mwambieni akumbuke "alotangulia katangulia..."
Mlishaambiwa mjiandae kisaikolojia....!!! Je, ulimsikia juzi akisema msilaumiane kama ni maamuzi mlifanya wote...??
Bora "mwizi" aliyeongoka tunayemfahamu vizuri kuliko malaika tusiyemfahamu anaendelea kuishi pamoja na wezi...!!!
Kumbuka Tanzania inahitaji mabadiliko na muda muafaka ni sasa....!! TOROKA UJE!!