Khantwe umenifanya nicheke pekeangu, hilo kundi lapili ndio watu ninaoishi nao. Anaweza akauliza kitu ukanyoosha sentensi mpaka ukajua kabisa hapa hakuna swali lingine, aaa atakuliza tu tena kwa mfano kama ulioutoa
Nani kasema naongelea maboifrendi hapa?
Hahahaaa mume wetu hajambo?
Naww unapenda sana maswali kitendo cha kusoma tu ujue kuwa ni mm ndio nmeongelea maboifrendi unauliza tena.
Hahahaa utafiti umeona eeh? Mtu anakuuliza leo unaenda wapi? Utamjibu naenda kariakoo then mchana ntaenda mbagala...utaulizwa posta huendi? Ebo..! Sasa ningekuwa naenda si ningeitaja nayo?
Hahahaa wii kama ndo hivyo mi na wewe tutakuwa tunagombana kila siku