Maswali mengine kwenye ndoa noma

Maswali mengine kwenye ndoa noma

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa akamuuliza mkewe, una hakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawewe?."

Mke akajibu, "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi."

Bwana harusi kazimia.
 
Back
Top Bottom