Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,321
24,228

09 January 2024​

Washington DC​

Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani​



View: https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY
WHITE HOUSE
Jan. 9, 2024, 7:26 PM
By Courtney Kube and Rebecca Shabad
WASHINGTON — Defense Secretary Lloyd Austin was diagnosed with prostate cancer last month and developed complications from a minimally invasive procedure he underwent to treat and cure it, officials at Walter Reed National Military Center said Tuesday.
The complications led to Austin's being admitted to Walter Reed on Jan. 1 and eventually, the intensive care unit. Austin remained in the hospital Tuesday.


The Defense Department took three days to inform the White House and key defense officials about Austin's hospitalization, prompting criticism and triggering a review of procedures about how the head of the military could be away from his duties for so long without senior members of the administration knowing.
President Joe Biden and other top White House officials learned about his hospitalization Thursday, but National Security Council spokesman John Kirby told reporters Tuesday that neither Biden nor anyone else at the White House knew about Austin's cancer diagnosis until Tuesday morning, hours before Walter Reed officials made the information public.
Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili kutibu ugonjwa huo , taarifa rasmi kutoka kwa maafisa wa Kituo cha Kijeshi cha Walter Reed iliisema.

Taarifa iliongeza kuwa, baada ya upasuaji mdogo ili kutibu tezi dume ya saratani waziri aliruhusiwa kurudi nyumbani. Lakini baadaye waziri alijisikia vibaya hivyo kukimbizwa kurudi hospitalini kutokana na maumivu makali alitosikia katika mmoja wa mguu wake pamoja na sehemu ya nyonga.

Ikalazimu jenerali Austin kulazwa katika hospitali ya kijeshi ya Walter Reed mnamo Januari 1, na hatimaye, kuingizwa chumba cha wagonjwa mahututi.

Jenerali Austin alibaki hospitalini hadi Jumanne. Taharuki ilizuka kutokana na usiri wa wapi alikuwapo waziri huyo kwa siku kadhaa kutokana inasemekana hata amiri jeshi mkuu ambaye ni rais wa nchi hakupewa taarifa hizo mapema. Hii taharuki inatokana na hali ya kidunia ilivyo sasa ambapo kuna vita ya Ukraine na Russia pia kule Mashariki ya Kati Israel vita vyake katika Gaza na mpaka wake wa Lebanon.

Waziri wa ulinzi hutakiwa aweze kupatikana muda wote kukitokea suala la ulinzi .
Source : NBC News
 
Back
Top Bottom