Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Najua kuna wabunge kadhaa wanatembela a hili jukwaa. Sasa binafsi nina maswali amabyo naamini wakazi wa majimbo wengi wanajiuliza na wangepend kujua majibu. Na wana jf wnaweza kuwa na maswali. megine
Nyie wabunge wa JMT mnapata nafasi nzuri ya kuhoji, kukosoa , kusifia na kuishauri serikali. Sisi wananchi tunapenda tupate nafasi ya kuwhoji kukosoa,kusifia kuwahsauri nyie wabunge kuhusu mambo mbali mbali katika majimbo yetu. Mnaitoa hiyo nafasi???????
Je wewe mbunge
Haya shusheni maswali kwa wabunge wetu bila kuweka itikadi za chama mbele. Inabidi tuwabane wabunge ili nao waweze kuibana vizuri serikali. Wawe wa CCM CDM, NCCR au CUF htutakiwi kuwachekea.
Nawasilisha

- Number yako ya kiofisi inajulikana kwa wapiga kura wa kawaida?
- Una ratiba inayojulikana kwa wanajimbo utakuwa kwenye ofisi yako na hivyo wananchi kuja kuonana nawe kwa issue mbali mbali ?
- Una ratiba rasmi ya kutembelea maneno fulani ya jimbo lako uliyopanga miezi sita kabla au unafanya safari za kushtukiza na kusbiri Rais na PM na matukio kama maafa na sherere ?
- Unatumia japo siku 60 kati ya 365 za mwaka katika mkoa,wilaya ya jimbo lako?. Una makazi rasmi jimboni au wilayani kwako?
- umeaonyesha uwazi na uwajibikaji katika kutoa taarifa matumzi ya pesa za mfuko wa CDF wa jimbo lako kwa kuchapisha ( Kwenye magazeti au ofisi za wialaya na madiwani) matumzi kila baada ya miezi mitatu au sita?
- Unajua takwimu mbali mbali zianhusioana na wialaya au jimbo lako. mfano mambo kama GDP ya wilaya au mkoa, maradhi, ujinga vif vya mma na watoto mlipa kodi mkubwa. Mpokea mshahara mkubwa na mpokea mshahara mdogo etc..... ( NB wabunge wengi wanatumi tkwimu za kitaifa kitu ambacho ni Kosa)