kwa suala la police hilo halina mjadala kwa sababu siyo mara yao ya kwanza kuhujumu mikusanyiko ya chadema si tu isiyo halali hata ile ambayo ni halali.kwa madaktari inawezekana ni taharuki tu akili zao hazikujiandaa kupokea tukio kama lile kwa muda ule.siyo rahisi jambo kubwa kama hili likawa limepangwa kwa kushirikisha watu wengi kiasi hicho.ni watu wachache wanaojua wanachofanya kwa maslahi yao kisiasa.kwa kutomkamata walau kwa mahojiano tu Mwigulu,na Mwampamba naona police bado hawapo tayari kuwapata na wahusika wa hili pia.