Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,172
Swali: Milioni 12 kwa mwezi zinalipwa kwa Nyumba ya Mh. Sitta huko Masaki akiwa Spika na hivi majuzi kasafiri kwenda India na Familia yake kwa hadhi ya Spika.
Lini ataondoka katika nyumba ya Spika na kutopewa hadhi ya daraja la kwanza ili kuipunguzia serikali mzingo
Spika anaingilia kati: Huyu ni Spika mstaafu kama alivyo Msekwa na wengine wowote, hili si swali
Kapotozewa
Mh. Regia
Duh! akina Nape walivyokuwa wameukomalia mshahara/posho ya Slaa nadhani sasa ni muda muafaka walitolee maelezo hili!!!!!