MASWALI KWA MA-ENGINEER WA BARABARA. Kwanini nan....

MASWALI KWA MA-ENGINEER WA BARABARA. Kwanini nan....

nami nimejifunza sana hapa leo. Ahsanteni sana wadau
 
Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali?

2.Kwanini barabara ya morogoro road,bagamoyo road ambazo mnajenga ni nyembamba sana halafu pale ktkt mnaacha sehemu kubwa ya kuweka udogo, kwanini msiache nafasi kubwa kuruhusu magari hata matatu yapite kwa wakati mmoja?

Ni hayo tu ninayotaka kupata ujuzi toka kwenu.
Ahsante.

Mifereji haichangii ajali. Sehemu zilizo na mifereji ukijenga ukuta au kuwe alama za kuongoza maderava bado wadereva hao hao watagonga hizo kuta au alama za barabara.

Kitu kinachosababisha ajali ni madereva au magari yenyewe. Medereva watanzania wanaendesha kwa kasi katika sehemu ambazo haziitaji kasi kubwa au kwa ujumla hawafuati sheria za usalama barabarani.

Vilevile ubovu wa magari ni chanzo cha ajali.
 
Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali?

2.Kwanini barabara ya morogoro road,bagamoyo road ambazo mnajenga ni nyembamba sana halafu pale ktkt mnaacha sehemu kubwa ya kuweka udogo, kwanini msiache nafasi kubwa kuruhusu magari hata matatu yapite kwa wakati mmoja?

Ni hayo tu ninayotaka kupata ujuzi toka kwenu.
Ahsante.
Muulize Mgufuli!
Anafahamu hata karai za mchanga zilizotumika kujenga rodi hizo!
 
Kama sio engineer kaa kimya 2 maana mnajibu ka Nape? At least Fighter amejibu kitaalam wengine ni kina Mulugo type
 
Nitakujibu swali lako la 2 kwa ufupi !

Ujenzi wa barabara Kama projects zingine zina stages kabla ya kufikia kitu icho ukisemacho!
Kuna mambo Kama fesibility study ,collection ya data Kama vile traffic counting na kadhalika. Hizo zote hufanywa ili kupata best design itakayokidhi hitaji ya wakati huo. Hayo yote hufanywa sambamba na budget iliyopangwa kwa project hiyo.

Kitu hicho unachokisema kinaitwa median, huwa ni part ya right of way, na yaweza tumika baadae ikiitajika kuongeza lane!, temporarily chaweza tumika kwa soft or hard landscarping ya barabara au catchoff drain area.

Duuuh! hizo jargons! Totally confused, ngoja na madaktari walete zao.
 
Back
Top Bottom