Maswali kwa Bill Gates

oops!
who is your source?
nimejaribu ku-click document yako kwani inaonekana kama ume copy na kupesti kutoka mahali fulani na matokeo yake nikakutana na hii picha!!

i1374_33z431h.jpg

Sijui inamaanisha nini!​
 
Mkuu Pape heshima mbele,
Mimi ndio kwanza nimenunua kacomputer hako kenye tuprogram twa mzee Gates sasa bado sijaka master mkuu mpaka hapo Gates akijibu haya maswali nikayafanyia kazi huenda nitakuwa nimeongeza kiwango changu cha ufahamu wa computer mkuu.hahaha siku njema.
 
Back
Top Bottom