Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

IPTL owns ‘all' in BoT escrow account- Claim.

Daily News; Wednesday 15, 2014
By DAILY NEWS REPORTER

A LOCAL company, VIP Engineering and Marketing Limited, has maintained that all the money that was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT) belongs to Independent Power Tanzania Limited (IPTL). A Statement issued in Dar es Salaam by the International Independent Consultant with VIP Company, Mr James Rwegemalira, to a team of lawyers, doctors and other experts reads: "It is VIP's strong view and understanding that the Escrow Account monies at the BoT, at all material times, belonged to IPTL. Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company also believes that Standard Chartered Bank Group was not a creditor of IPTL while it has also caused a lot of damage not only to his company but to Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) and to the government.
He advised that Tanesco and the government should take legal measures against Standard Chartered Bank for the recovery of the damages allegedly caused "as what VIP Company has done".
The company has already commenced a civil suit at High Court against the bank, claiming not less than 490.09million US dollars (about 787bn/-). Mr Rwegemalira, therefore, called anybody who has claims against VIP to apply for leave of the High Court of Tanzania to make counter claims in the case.
One of the VIP Company lawyers, Dr Camilo Schutte from Amsterdam, Netherlands, asked the government of Tanzania to tell the public the truth on the position regarding monies that were in the escrow account.
"Leaving other people to speculate and going on giving misleading information about the money is not proper. Facts are available that clearly shows that the money in escrow account do not belong to the public. It is privately-owned money," the lawyer insisted. He also advised members of the public to take keen interest by reading court records from the High Court of Tanzania and other records concerning the IPTL from other jurisdictions in United States and other parts of the world "to know the truth about the matter".
Clarifying more on the matter, Mr Rwegemalira pointed out that VIP Company has been going to court since 2002, complaining against the non-registration of its payment in kind of 13.5 million US dollars for its 30 per cent equity in IPTL.
The company had also been complaining about fictitious debts, which Mechmar Corporation (Malaysia) Berhad was oppressively foisting upon IPTL. VIP requested the High Court to compulsorily appoint a Provisional Liquidator of IPTL to investigate the allegations.
The Liquidator of IPTL produced two interim reports, which allegedly prima facie confirmed VIP's allegations. In 2005, Standard Chartered Bank purported to have bought debts of IPTL, from the original lenders of IPTL, whom VIP was accusing to be conspiring with Mechmar.
In 2006, VIP politely and diplomatically requested the government and Tanesco to continue buying IPTL power as per the Power Purchase Agreement (PPA) but to deposit the monthly capacity charges of the disputed invoices of about 2.6 million US dollars into the Escrow Account.
Following such request, the government, IPTL and BoT established an IPTL Tegeta Escrow Account for the benefit of only IPTL and GoT and not creditors of IPTL, into which some of the IPTL disputed invoices were being deposited instead of being paid to IPTL.
In July 2013, the Standard Chartered Bank, through the government requested VIP to withdraw in the public interests the petition for the compulsory winding up of IPTL.
VIP agreed on conditions that it shall be entitled to continue with its claims for damages totalling more that 485million US dollars, which it had already commenced in the USA Supreme Court in New York against Standard Chartered Bank since June 10,2013.

Apparently, the negotiations between Standard Chartered Bank and VIP under the mediation of the Government failed. It was at that point when Pan Africa Power Solution (PAP) commenced negotiation and subsequently purchased VIP's 30 per cent shares in IPTL.

The VIP agreed to withdraw the petition for winding up IPTL with conditions that PAP shall pay to VIP 75.0million US dollars to acquire its shares, commits before the High Court pay off all legitimate creditors of IPTL and expand the Power Plant Capacity from 100 MW to about 500MW as soon as possible.

PAP was also required to commit itself before High Court that IPTL shall charge Tanesco a tariff of between US Cent 6/kWh (TZS 100/unit) and US Cent 8/kWh (TZS 130/unit), making the capacity charges the cheapest in the country.
 
  • Thanks
Reactions: mtv
Swali namba 09 muulizaji nd unatakiwa uwe wa wa kwanza kulithibitisha kwa kuweka ushahidi na viambatanisho! Tumeskia mengi na kila siku watu wanazusha mambo, ifike kipindi na maswali tunayouliza tuwe tuna historia nayo au ushahidi nao! Cyo umeskia barabaran Kafulila kahongwa, Zito kahongwa na ww unakurupuka tu ukiulizwa hujui!??
 
Naomba nimsaidie muulizaji kukujibu.
Hivi siyo vitu vya kusikia barabarani kama ingekuwa porojo Mwanasheria NIMRUD MKONO angetake advantage ya statement ya Katibu mkuu wizara ya nishati, unamjua MKONO unamsikia!Wamepewa pesa hawa na Mkono. SCB-HK ndio kaja na yeye kubusti kelele za Kafulila.
Hili lipo wazi mkuu, we unataka ushahidi gani tena Maswi aliwakaanga hawa live na wakafyata ,Zitto ndio kidogo alijaribu kusema tena bungeni lakini KAFULILA na Mkono waliufyata kabisa. Au unataka picha za video za siku aliyopewa huo mrungula.
Muulize KAFULILA sasa na yeye anaushahidi gani kuwa fedha walizolipwa IPTL/PAP hawakustahili kulipwa. Juzi kwenye mahojiano na mwandishi wa Raia Mwema toleo no.373 jumatano, oktoba 1- oktoba 7, 2014, soma hapo chini

View attachment 193567

Soma hapo chini Prof. Muhongo waakati anawasilisha hotuba yake wakati wa bunge la bajeti lililopita;

'''''TANESCO pia ilitoa hoja kwamba Mahakama ya Usuluhishi haina mamlaka ya kusikiliza mgogoro huo kwa vile SCB-HK haikuomba ruhusa ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuwasilisha shauri hilo kwenye Mahakama ya Usuluhishi kwa kuwa haikuandikisha mkopo huo hapa nchini kama inavyotakiwa katika kifungu Na. 172 cha Sheria ya Makampuni Cap 212. Pamoja na TANESCO kuweka pingamizi hili, wakili wake Mkono & Co Advocates hakuitetea hoja hii wakati wa kesi katika ICSID;
Wakati kesi ikiendelea ICSID Mahakama Kuu ya Tanzania iliiondoa kampuni ya IPTL katika ufilisi, TANESCO walimuomba wakili kuwasilisha taarifa ICSID ya IPTL kuondolewa katika ufilisi ili SCB –HK iondoe kesi hiyo mahakamani na kuwasilisha madai yake kwa IPTL, kampuni ambayo sasa ni hai (Solvent) kulingana na uamuzi wa Mahakama Kuu. Mawakili wa TANESCO Mkono & Co Advocates, hawakuwasilisha ombi hilo ICSID na kuifanya ICSID iendelee na kesi hiyo hadi ilipotoa uamuzi tarehe 12 Februari, 2014
ICSID katika uamuzi wake ilielekeza SCB – HK na TANESCO wakubaliane kuhusu namna ya kukokotoa tariff ndani ya muda wa miezi mitatu na kuwasilisha makubaliano yao ICSID. Mawakili wa TANESCO hawakuonesha dalili yoyote ya kutoridhishwa na uamuzi huo, badala yake walisisitiza kuishauri Serikali na TANESCO itekeleze maelekezo hayo ya ICSID huku wakijua kuwa SCB – HK na TANESCO hawana uhusiano wowote wa kimkataba.''''

Mkuu soma vizuri hapo juu alafu unganisha doti hizo, kama upo makini utaona tu Mkono mabosi wake SCB-HK, na yeye Mkono kamwajiri KAFULILA kwakuwa yeye akichafuka he has alot to lose kulilko ndugu yetu Kafulila. Pia Mkono kapigwa chini kama mwanasheria wa TANESCO, analipa kisasi kwa kuichafua wizara.
Mzee mengine soma humu na kwenye post nyingine mengi yameelezwa. Soma taarifa za hivi karibuni utaona jinsi vita ya kugombea fedha za escrow ilivyo kubwa, SCB-HK wanataka walipwe wao hizi fedha kwa kuwa wanadai walikuwa waidai IPTL (mechmar) kitu ambacho kina kataliwa na VIPEM. Wakati huohuo haohao SCB-HK walishaanza mazungumzo na VIPEM kutaka kuinunua, bahati nzuri PAP wakawawahi.

HATA KAFULILA ALIWAHI KUDAI KUWA ANANYARAKA ZAIDI YA 600 KUHUSU SAKATA LA IPTL/PAP, MINAFIKIRI WAKATI KAMA HUU AMBAO AMEKOSA SUPPORT NI VIZURI AKAZITOA ILI APATE SUPPORT KUTOKA KWA UMMA. MASKINI HATA UKAWA WAMEMTENGA!!!
 
  • Thanks
Reactions: mtv
Swali namba 09 muulizaji nd unatakiwa uwe wa wa kwanza kulithibitisha kwa kuweka ushahidi na viambatanisho! Tumeskia mengi na kila siku watu wanazusha mambo, ifike kipindi na maswali tunayouliza tuwe tuna historia nayo au ushahidi nao! Cyo umeskia barabaran Kafulila kahongwa, Zito kahongwa na ww unakurupuka tu ukiulizwa hujui!??

Sasa alieuliza kakosa nini?,hata kama amesikia barabarani,yeye hajamtuhumu kafulila!,yeye kaja jamvini na maswali ili kafulila ajibu,cha msingi mwambie kafulila aje kujibu maswali yake
 
Nchi haishi vituko! mnapiga pesa za umma, mnajifanya kurukaruka tu, Rugemalila baada ya kupiga pesa jana kajifanya kuleta watalii nchini, yaani hii ccm na vitukovituko tu! hapa ujanja ni kuchezesha sheria za nchi kiujanjaujanja na pesa zinapigwa! hii ni aina ya mifumo ya kiwizi tu! na wanapiga pesa zinaishia kujenga majumba makubwa yenye kuzungushiwa uzio mkubwa na walinzi kibao getini, piga pesa hizo wekeza! ili tuweze kugawana kwa njia hiyo,
 
vipi kafulila hajajenga tu maana kapiga hela ndefu sana kwenye sakata hili...bilion 3.1 si mchezo,hupati mchengo wako wa maana hapo mkuu?
 
acha ujinga wewe watu wakijenga nyumba na kuweka walinzi kwako shida, acha uzezeta
 
Kwahiyo wewe kushindwa kujenga nyumba nzuri kwa uzembe wako, nawengine wasijenge kwa juhudi zao? Ficha umbulula wako. Na usirudie kuja na mihemko yako ya kidarasa la kwanza hapa
 
acha ujinga wewe watu wakijenga nyumba na kuweka walinzi kwako shida, acha uzezeta

Huyo ni wakuhurumiwa tu, hajielewi kabisa mkuu. Na akiendelea na uzembe wake wakutojishughulisha ili ajenge nyumba yenye uzio, anafikiri kila mtu humu ni mshinda vijiweni kama yeye
 
vipi kafulila hajajenga tu maana kapiga hela ndefu sana kwenye sakata hili...bilion 3.1 si mchezo,hupati mchengo wako wa maana hapo mkuu?

Siku hizi kapata na mchumba Kafulila! Anatanua naye kwa fedha chafu alizohongwa na mafisadi kuiponda Iptl
 
vipi kafulila hajajenga tu maana kapiga hela ndefu sana kwenye sakata hili...bilion 3.1 si mchezo,hupati mchengo wako wa maana hapo mkuu?

Ajenge wapi labda kahonga, sasa anakomaa akijua iptl watamuhonga,kumbe wanajitambua wamemkataa mazima na wanatangaza ukweli juu ya usafi wao
 
Nchi haishi vituko! mnapiga pesa za umma, mnajifanya kurukaruka tu, Rugemalila baada ya kupiga pesa jana kajifanya kuleta watalii nchini, yaani hii ccm na vitukovituko tu! hapa ujanja ni kuchezesha sheria za nchi kiujanjaujanja na pesa zinapigwa! hii ni aina ya mifumo ya kiwizi tu! na wanapiga pesa zinaishia kujenga majumba makubwa yenye kuzungushiwa uzio mkubwa na walinzi kibao getini, piga pesa hizo wekeza! ili tuweze kugawana kwa njia hiyo,

Fedha zipi za umma zilizopigwa????? Bil 400 au Bil 200, kwahiyo we unaungana na Kafulila kuwa tungewapa SCB-HK ili wakawekeze kwao???
Hakuna fedha ya umma kwenye account ya escrow, unajua kwamba fedha hizo ambazo kipindi kile cha dispute zilitunzwa leo zinalipwa moja kwa moja kwa IPTL?? Fikiri kwanza kabla ya kubwatuka!! Usikubali kupotoshwa.
 
Hawa watu sijui huwa wanatokea wapi? Mimi huwa siamini ktk karne hii kama kuna watu mazuzu wenye fikra kama za huyo jamaa, wanakaririshwa kutamka takwimu tu na wanasiasa uchwara kama kafulila, naye anakuja hapa na povu bila kuchuja. Waelewa tunamuona kama kachanganyikiwa
 
Siku hizi kapata na mchumba Kafulila! Anatanua naye kwa fedha chafu alizohongwa na mafisadi kuiponda Iptl

Afanye nini kijana wakati kakunja Bil 1.3 kutoka SCB- HK. Zitamsaidia kulipa fidia anayodaiwa na IPTL/ PAP.
 
Back
Top Bottom