MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
Duuu hii hatari kabisa
hatari kweli kweli aisee...ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
Duuu hii hatari kabisa
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.
1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe
2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?
3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.
4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl
5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.
6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania
7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?
8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?
9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.
10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?
Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala
Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumiBaada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumiKutokana na hukumu ya Mahakama Kuu, Kampuni ya PAP ilijadiliana na wadai halali wa mikopo ya IPTL na kuingia Mkataba wa kuwalipa wadai wote wa IPTL isipokuwa SCB-HK ambaye hakuwasilisha madai yake.
SCB-HK iliyokuwa ikiidai IPTL fedha ilizotumia kununua deni lililotokana na kufilisiwa kwa MECHMAR kule Malaysia (siyo Tanzania) haijawahi kujadiliana na IPTL kuhusu malipo ya mkopo wake kama upo. Mvutano huu unaendelea ICSID kati ya TANESCO na SCB HK, ukiitaka TANESCO ilipe gharama za kununua umeme ikijumuisha deni la IPTL. Madai ya SCB HK dhidi ya TANESCO yanatokana na madai ya kuwepo kwa deed of Assignment ya MECHMAR kuhusiana na Mkopo wa IPTL ambapo Mtambo wa IPTL uliwekwa kama dhamana ya mkopo. Hata hivyo deed of assignment hiyo haikuwahi kusajiliwa hapa nchini kama inavyotakiwa katika kifungu Na. 172 cha sheria za makampuni Cap. 212 zinavyoelekeza Kwa kutokusajili assignment deed hiyo, SCB HK ilikosa sifa ya kufungua madai yake hapa nchini badala yake ilifungua madai haya ICSID nchini Uingereza kama ilivyoelezwa kwenye kifungu Na. 2.8.2 cha taarifa hii, kitu kinachoonyesha kudharau Mahakama zetu
TANESCO pia ilitoa hoja kwamba Mahakama ya Usuluhishi haina mamlaka ya kusikiliza mgogoro huo kwa vile SCB-HK haikuomba ruhusa ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuwasilisha shauri hilo kwenye Mahakama ya Usuluhishi kwa kuwa haikuandikisha mkopo huo hapa nchini kama inavyotakiwa katika kifungu Na. 172 cha Sheria ya Makampuni Cap 212. Pamoja na TANESCO kuweka pingamizi hili, wakili wake Mkono & Co Advocates hakuitetea hoja hii wakati wa kesi katika ICSID;
Wakati kesi ikiendelea ICSID Mahakama Kuu ya Tanzania iliiondoa kampuni ya IPTL katika ufilisi, TANESCO walimuomba wakili kuwasilisha taarifa ICSID ya IPTL kuondolewa katika ufilisi ili SCB HK iondoe kesi hiyo mahakamani na kuwasilisha madai yake kwa IPTL, kampuni ambayo sasa ni hai (Solvent) kulingana na uamuzi wa Mahakama Kuu. Mawakili wa TANESCO Mkono & Co Advocates, hawakuwasilisha ombi hilo ICSID na kuifanya ICSID iendelee na kesi hiyo hadi ilipotoa uamuzi tarehe 12 Februari, 2014
ICSID katika uamuzi wake ilielekeza SCB HK na TANESCO wakubaliane kuhusu namna ya kukokotoa tariff ndani ya muda wa miezi mitatu na kuwasilisha makubaliano yao ICSID. Mawakili wa TANESCO hawakuonesha dalili yoyote ya kutoridhishwa na uamuzi huo, badala yake walisisitiza kuishauri Serikali na TANESCO itekeleze maelekezo hayo ya ICSID huku wakijua kuwa SCB HK na TANESCO hawana uhusiano wowote wa kimkataba.
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweliHapo chini ni maneno ya KAFULILA siyo ya kwangu, kumbe KAFULILA anataka fedha za ESCROW walipwe Standard Chartered - Hong kong na siyo IPTL/PAP.
Ona KAFULILA anavyokili kuwa fedha za ESCROW siyo mali ya umma.
View attachment 192783
TAFAKARI CHUKUA HATUA DHIDI YA WANASIASA KANJANJA KAMA KAFULILA
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
Duuuuh washakudembwe mnatumikavibaaaaaayaaaaa!!!!
Hili halivumiliki hata kidogo pongezi kwako muhongo kwa kufunga mirija ya rushwa wizarani
Hapo chini ni maneno ya KAFULILA siyo ya kwangu, kumbe KAFULILA anataka fedha za ESCROW walipwe Standard Chartered - Hong kong na siyo IPTL/PAP.
Ona KAFULILA anavyokili kuwa fedha za ESCROW siyo mali ya umma.
View attachment 192783
TAFAKARI CHUKUA HATUA DHIDI YA WANASIASA KANJANJA KAMA KAFULILA
Kweli mkuu anatumika vibaya sana kafulila
mbona kafulila anajua kuwa fedha za ESCROW sio za umma,shida ni kuwa ameshakula hela za hayo mabenki kama mgao awapiganie walipwe fedha wasizostahili, Kafulila ajipange sana kutekeleza wizi huu
i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.
(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.
(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.
USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
Msitupandikizie ujinga huu ili kututisha kwa maslahi yenu!! Ripoti ya CAG itatoka na haya mnayosema yatapita, mtafute topic nyingine mapema. Donors walitaka kuwanyima misaada Uganda kwa kukataa wanaume kuona!! Donors walitaka kutunyima misaada Tanzania mpaka tukubali kuoana, Donors wamewanyima misaada Zimbabwe sababu wazalendo wamechukua Ardhi yao, mifano ipo mingi yakuonyesha jinsi Donors wanvyofanya mambo kwa maslahi yao siku zote, usituaminishe kuwa wamefanya hivyo kwa maslahi yetu. Kwanza hakuna wizi kwenye account ya escrow
Sio kosa la kafulila ni njaa tu inamsumbua mbunge wetu
Jaman nimegundua kitu kwamba hii vita ni nguma maana wafadhiri wa kafulila amba wafanyabiashara wakubwa wamempatia kafulila zaidi ya mil 200 kwa ajiri ya hii movement ya kuteka isia za wananchi ila mkuu kafulila unapoteza imani kwa wapiga kura wako kwa hupuzi kama huu