Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Lakini nadhani kafulila ameshafeli mipango yake

Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa kupitia Wizara ya Nishati na Madini, shirika la IPTL
naBenki Kuu ya Tanzania (wakala) kutokana na Mkataba
wakuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO
kulianzishwa akaunti ya ESCROW.MAtakwa ya makubaliano ya
kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga,
kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni
binafsi ya IPTL na TANESCO ni kwa serikali kufungua letters
of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.Akaunti hiyo siyo
fedha za serikali bali ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana na
matakwa ya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka
kampuni binafsi.
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

mbona kafulila anajua kuwa fedha za ESCROW sio za umma,shida ni kuwa ameshakula hela za hayo mabenki kama mgao awapiganie walipwe fedha wasizostahili, Kafulila ajipange sana kutekeleza wizi huu

Kampuni PAP/IPTL inaendelea kuzalisha na kuuza umeme kwa Tanescokwa ari na ufanisi mkubwa. Uwezo wa mitambo yao ni mikubwa sana na ufanisi wake ni wa uhakika kabisa.Tufurahi Zaidi kuona watanzania wanafurahia huduma zinazotokana na PAP/IPTL,Uwepo wa mitambo hii, na uwepo wa kampuni ya PAP/IPTL inatosha kuwaaminisha wadau mbalimbali kwamba PAP/IPTL ni watu makini waliobobea kwenye kazi ya uzalishaji wa umeme.Na mengi mnayoyasikia na kuambiwa ni ama yanatokana nakutokuwa na uelewa mzuri kwa wanaoyasambaza, au yanatokana na chuki zakibiashara, ama yanatokana na kutafuta sifa za kisiasa, (political millage).Hivi karibuni mmekuwa mkisikia kwamba eti IPTL/PAP ina mgogoro na TANESCO mahakani,hili jambo siyo kweli, IPTL/PAP haina mgogoro wowote na TANESCO sio tumahakamani bali ata mahala pengine popote.
 
Kafulila endelea kuropoka!! Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga!!!

Daily News; Tuesday, October 14, 2014

attachment.php
 
Kampuni PAP/IPTL inaendelea kuzalisha na kuuza umeme
kwa Tanesco kwa ari na ufanisi mkubwa. Uwezo wa mitambo
yao ni mikubwa sana na ufanisi wake ni wa uhakika
kabisa.Tufurahi Zaidi kuona watanzania wanafurahia
huduma zinazotokana na PAP/IPTL,Uwepo wa mitambo hii, na
uwepo wa kampuni ya PAP/IPTL inatosha kuwaaminisha wadau
mbalimbali kwamba PAP/IPTL ni watu makini
waliobobea kwenye kazi ya uzalishaji wa umeme.Na mengi
mnayoyasikia na kuambiwa ni ama yanatokana nakutokuwa na
uelewa mzuri kwa wanaoyasambaza, au yanatokana na chuki
za kibiashara, ama yanatokana na kutafuta sifa za kisiasa,
(political millage).Hivi karibuni mmekuwa mkisikia kwamba eti
IPTL/PAP ina mgogoro na TANESCO mahakani,hili jambo siyo
kweli, IPTL/PAP haina mgogoro wowote na TANESCO sio
tu mahakamani bali ata mahala pengine popote.
 
Kafulila endelea kuropoka!! Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga!!!

Daily News; Tuesday, October 14, 2014

attachment.php

Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
huyu nikiongozi aliyekosa leadership skills, hana jipya kwa wapiga kula wake. Huyu nimwanasiasa wa matukio, hata kuchaguliwa kwake ilikuwa ni mchakato wa kimatukio.Bila scandal la EPA NA RICHMOND tusingepata mbunge kilaza kama huyu, matukiondio yalimfanya awe mbunge leo. Hana uwezo wa kuliongoza jimbo lake na kuletamabadiriko ya ukweli kwenye maisha ya wapiga kula wake.
 
kafulila ana njaa moto kwa kweli,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.
 
Si vibaya kutumika,issue ni kutumika vibaya

kafulila ana njaa moto,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.
 
Naona unajitahidi sana kukimbia wizi wa bilioni 200 na kutaka kumchafua Kafulila. Hawa IPTL ni matapeli wakubwa sana waliingia nchini kitapeli na wanaendelea na utapeli wao huku wakishirikiana na wahusika mbali mbali ndani ya hii Serikali ya mafisadi.
attachment.php
haya kaka source daily news twende kwenye mjadala wetu sasa
 
Daily News; Wednesday, October 15,2014

""The government to tell the public the truth on the position regarding monies that were in the escrow account. Leaving other people to speculate and going on giving misleading information about the money is not proper. Facts are available that clearly show that the money in the escrow account does not belong to the public. It is privately- owned money.""
 
kafulila ana njaa moto,mchumia tumbo tu
amehongwa na wakina rostam,mkono na hiyo bank ya
standard charted 1.3bilion ndio maana kalivalia njuga suala
hili la IPTL/PAP,mbona wabunge wenzake hasa wa ukawa
hawamsupport coz wamejua mchezo mzima unaendelea kati
ya kafulila na hao waliomtuma."MPUMBAVU ANA TABIA YA
KUSHUPAA NA MJINGA ANA TABIA YA KUDUWAA"somo kubwa
sana hilo unapewa na prof.kabudi.

Duh! Hii nchi wanasiasa wanaimaliza kwa kuendekeza njaa zao
 
mbona kafulila anajua kuwa fedha za ESCROW sio za umma,shida ni kuwa ameshakula hela za hayo mabenki kama mgao awapiganie walipwe fedha wasizostahili, Kafulila ajipange sana kutekeleza wizi huu

sasa atafanyeje mkuu! wakati yuko mzigoni kwa kujali maslahi anayoyapata kwa wafadhili wake, ambao wanatumia dhana potofu ya uzawa kuchafua kampuni shindani kwao. ila kwenye hili la fedha za Escrow siyo za umma kabisa ni mali halali za Iptl hata Kafulila anaujua ukweli
 
Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
huyu nikiongozi aliyekosa leadership skills, hana jipya kwa wapiga kula wake. Huyu nimwanasiasa wa matukio, hata kuchaguliwa kwake ilikuwa ni mchakato wa kimatukio.Bila scandal la EPA NA RICHMOND tusingepata mbunge kilaza kama huyu, matukiondio yalimfanya awe mbunge leo. Hana uwezo wa kuliongoza jimbo lake na kuletamabadiriko ya ukweli kwenye maisha ya wapiga kula wake.

Hahahahaaaaa...Tanzania yetu hii ina wanasiasa wasaka tonge tu inavyoonekana walifikiri IPTL nayo inaendeshwa kwa rushwa kama walivyozoea kwa wafanyabiashara nakanjanja wa hapa. kumbe IPTL. wao wanaamini ktk haki ikiwemo kulipa kodi ipasavyo na kushiriki ktk kukuza mahusiano baina yake na wananchi wa kawaida. sasa leo wanasiasa wenye roho za kifisadi wanahaha kuichafua kampuni ya IPTL kwa maslahi yao binafsi na kutumiwa kuhongwa vijisenti na watu ambao kimsingi ni wachafu kupindukia kama huyo mkono na jamaa zake akina rostam, mengi! shame on you Kafulila! kwakujidhalilisha, mbunge mzima pekee yako huoni aibu kutumika peke yako
 
Back
Top Bottom