Maswali kuhusu umbo la dunia

Maswali kuhusu umbo la dunia

Mkono Wa Nyani

New Member
Joined
Jan 13, 2019
Posts
2
Reaction score
7
Habari Great thinkers

Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani.

>Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia?

>Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto Nile unatiririsha maji kutoka ziwa Victoria hadi huko Misri

Naomba kuelimishwa wakuu.
 
Kwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tufunge mjadala kwa kupata maneno kutoka kwenye maandiko:

22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;

Isaya 40:22

22 He is the one who sits on the earth's horizon; its inhabitants are like grasshoppers before him. He is the one who stretches out the sky like a thin curtain, and spreads it out like a pitched tent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvutano wa dunia unaanzia katikati ya dunia. siyo ikweta ama uzio wa kusini. Katika ulimwengu hakuna juu wala chini. Habari za juu na chini zimejengwa na fikra zetu baada ya kuukuta mvutano. sasa we unaona maajabu unapoona maji ya mto nile kutoka nyanza kwenda misiri wakati mtazamo wako unaonyesha kuwa misiri iko juu. Na kanuni ya maji hayapandi mlima. Iko hivj

chini ni ile hali ya kuisogelea kati ya dunia na juu ni kuwa mbali na kati ya dunia. KAZI SHILA
 
Habari Great thinkers

Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani.

>Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia?

>Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto Nile unatiririsha maji kutoka ziwa Victoria hadi huko Misri

Naomba kuelimishwa wakuu.
kwanza kabisa mkuu ukiangalia sayari zingine kupitia vyombo kama darubini{unaweza kupata chip kwa Amazon au Ebay kwa usd 200 tuu} utaweza kuona maumbo yake na pia kuna vyombo vinaenda nje ya dunia mfano cha china juzi tuu hapa na viazi kimepanda kwenye mwezi basi tunapata picha zake ukiachilia mbali space station zilizizopo kwenye mzingo wake.

Pili suala la mto Nile nilishajiulizaga ila jibu ni kuwa maeneo ya afrika mashariki yapo juu japo sio kaskazini kwa hio maji yanateremka kuelekea kaskazini{Mfano Ukiwa juu ya kilele cha mlima kama kilimanjaro na compas itakuonesha kaskazini ambapo ukiangalia utapaona ni chini,hivyo basi assume mto unatokea kileleni unaelekea kaskazini mwa mlima ndio uhalisia}

Nakaribisha pia wadau wengine ila kwa ufupi ni hayo tuu mkuiu
 
Naomba tufunge mjadala kwa kupata maneno kutoka kwenye maandiko:

22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;

Isaya 40:22

22 He is the one who sits on the earth's horizon; its inhabitants are like grasshoppers before him. He is the one who stretches out the sky like a thin curtain, and spreads it out like a pitched tent.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake"
Ushubwadaaa na upuuuzi mtupuu,,,hao wanaokaaa ndani yake ni viumbe vyoteee au vyura na majongooo"
 
Kwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk
Sent using Jamii Forums mobile app

Na ndo hapo tukazaliwa flat earth society, dunia ni flat Kama ilivyo chapati iliyo funikwa nabakuli 🌍
 
Dunia(bustani) haijafahamika ina umbo lipi mpka sasa kiuhalisia,nadharia ziko nyingi mno ila hii ya NASA kuwa ni tufe ndio imeshika watu kweli kweli na picha zao za CGI.....
 
Habari Great thinkers

Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani.

>Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia?

>Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto Nile unatiririsha maji kutoka ziwa Victoria hadi huko Misri

Naomba kuelimishwa wakuu.

swali zuri sana, ngoja nijarbu kuchimba zaidi, ntapata cha kuandika
 
Kwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tangu nifanye utafiti mdogo na kugundua taasisi zote zilizotufanyia utafiti na kutuaminisha kuwa dunia ni duara(kwa uduara wowote ule) nimetokea kutoiamini tena sayansi kama baba wa ukweli katika kila kitu any more. Kuna wanasayansi mbadala wa Brazil kwa mwaka 2019 wamekamilisha utafiti wao na kuthibisha kwamba dunia ni flat , haizunguki kamwe, na jua ndio linalozunguka kama ambavyo macho na akili vinashuhudia. Sasa ona;
Bendera ya UN ina logo ya Dunia flat,
Bendera ya International Maritime Organization (IMO) ina logo ya flat Earth
Bendera ya World Meteorological Organization (WMO) ina logo ya Flat Earth
Bendera ya International Civil Aviation Organization (ICAO) ina logo ya Flat Earth
bendera ya World Health Organizatio (WHO} ina logo ya Flat Earth
Bendera ya United States Geological Survey (USGS) ina logo ya Flat Earth n.k.
Hii ina maana gani, safari za meli ndege zimeplotiwa kwa kutumia flat earth map sio globe map.
mpaka hapa mdanganyaji anajua na anasababu zake za kwanini anatudanganya. Binafsi sasa najua
dunia ni tambarare ipo static pasi na shaka
jua linatembea na kamwe halipo static na sio centre of solar system bali ni taa na mwanga wa kuimulikia dunia tu
jua sio nyota na kamwe nyota sio jua na nyota wala jua sio madude makuuubwa kama nasa wanavyotufanya watoto.
gravitation force ni futuhi tu n.k
Nasa hawajawahi kukanyaga mwezini na kamwe hawatawahi.
bigbabang theory ni hadithi za kwanyamazishia watoto vilizi ili wanyamaze na kucheka.
 
kwanza kabisa mkuu ukiangalia sayari zingine kupitia vyombo kama darubini{unaweza kupata chip kwa Amazon au Ebay kwa usd 200 tuu} utaweza kuona maumbo yake na pia kuna vyombo vinaenda nje ya dunia mfano cha china juzi tuu hapa na viazi kimepanda kwenye mwezi basi tunapata picha zake ukiachilia mbali space station zilizizopo kwenye mzingo wake.

Pili suala la mto Nile nilishajiulizaga ila jibu ni kuwa maeneo ya afrika mashariki yapo juu japo sio kaskazini kwa hio maji yanateremka kuelekea kaskazini{Mfano Ukiwa juu ya kilele cha mlima kama kilimanjaro na compas itakuonesha kaskazini ambapo ukiangalia utapaona ni chini,hivyo basi assume mto unatokea kileleni unaelekea kaskazini mwa mlima ndio uhalisia}

Nakaribisha pia wadau wengine ila kwa ufupi ni hayo tuu mkuiu
nimekaribia mkuu, dhana ya mto kukwea mlima kwa mile nyingi huwa ni futuhi sana mzee, kuanzia hapo tu nina kila sababu sasa ya kuamini dunia ni tambarare na wala haizunguki wala kujizungusha(naenda mbali zaidi), na wala dunia sio sayari, haijawahi kuwa sayari na haitakuja kuwa sayari. China haijawahi kwenda mwezini zaidi ya maigizo tu kama yale ya JAXA, NASA n.k image wanazotupa ni COMPUTER GENERATED TU hazina ukweli wowote. Mfano evidence ya Ship Visibility tuliyodanganywa na kuimbishwa sana shule tayari hata mimi nimeproove kuwa meli huwa haitoweki kwasababu dunia ni curve bali macho yetu ndio huwa yamefika ukomo wa umbali wa kuona ndio maana tunaona horizon, ila uki apply powerful telescope unaiona meli iliyotoweka kwenye naked eyes vizuri tu.
 
Unaweza ukawa kweli ila hata akiri yangu ya darasa la tano haitaki kukuamini. Kama dunia iliwa flat basi kutakuawa na mwisho ambako jua litakuwa linatokea ama kuzamia. Yaani kutakuwa na kingo maana itakuwa kama sahani ya meza. Sasa huko mwisho ni wapi. Umesema michoro ya njia za meli na ndege kwenye ramani msawazo ya dunia. Ukiiangalia hiyo ramani kunanjia za ndege zinatoka urusi kuelekea mashariki. Je hizo ndege zinaenda wapi wakati kwa ramani ya flat urusi ndo ya mwisho kwenda mashariki. Vipi zile njia za alaska zinazoenda magharibi katika ramani yako. Nazo zinaenda wapi. Maana ile lamani msawazo inaonyesha kuwa alaska ndo mwisho wa magharibi. Je unauongeleaje utofauti wa masaa baina ya taifa moja na jingine mi nilitegemea kama ni usiku uwe wa dunia nzima. Si jua litakuwa uvunguni mwa dunia na dunia ni msawazo. Je tukichimba sana huko chini tukaivuka dunia tunaibukia wapi. Au ndo kuzimu. Ukijibu hapo nawaamini hao wabrazil. Tofauti na hapo ngoja niwamini kwanza nasa maana niliwaelewa
mkuu tangu nifanye utafiti mdogo na kugundua taasisi zote zilizotufanyia utafiti na kutuaminisha kuwa dunia ni duara(kwa uduara wowote ule) nimetokea kutoiamini tena sayansi kama baba wa ukweli katika kila kitu any more. Kuna wanasayansi mbadala wa Brazil kwa mwaka 2019 wamekamilisha utafiti wao na kuthibisha kwamba dunia ni flat , haizunguki kamwe, na jua ndio linalozunguka kama ambavyo macho na akili vinashuhudia. Sasa ona;
Bendera ya UN ina logo ya Dunia flat,
Bendera ya International Maritime Organization (IMO) ina logo ya flat Earth
Bendera ya World Meteorological Organization (WMO) ina logo ya Flat Earth
Bendera ya International Civil Aviation Organization (ICAO) ina logo ya Flat Earth
bendera ya World Health Organizatio (WHO} ina logo ya Flat Earth
Bendera ya United States Geological Survey (USGS) ina logo ya Flat Earth n.k.
Hii ina maana gani, safari za meli ndege zimeplotiwa kwa kutumia flat earth map sio globe map.
mpaka hapa mdanganyaji anajua na anasababu zake za kwanini anatudanganya. Binafsi sasa najua
dunia ni tambarare ipo static pasi na shaka
jua linatembea na kamwe halipo static na sio centre of solar system bali ni taa na mwanga wa kuimulikia dunia tu
jua sio nyota na kamwe nyota sio jua na nyota wala jua sio madude makuuubwa kama nasa wanavyotufanya watoto.
gravitation force ni futuhi tu n.k
Nasa hawajawahi kukanyaga mwezini na kamwe hawatawahi.
bigbabang theory ni hadithi za kwanyamazishia watoto vilizi ili wanyamaze na kucheka.
 
Dah!! Kuna mawazo ya watu humu mpk unaweza fikiri huwa hawafikiri.. sayansi ya anga ndugu zangu inahitaji utulize kichwa vizuri na ukiwa na uwezo wa kufikiri vyema utayapata majibu hata bila ya kutangatanga... Hao wanaosema dunia ni flat ni kichekesho Cha aina yake!! Mnafahamu sayansi Haina kiongozi hata wewe unaweza kufanya tafiti na ukaleta majibu na ndio maana sioni haja ya mashirika ya sayansi ya anga yapalame kushindana na viumbe vinavyosema dunia ni flat.. washaona ni upuuzi kushindana na mijitu ambayo hata kutoka nje ya dunia bado wao wanafahamu wanajisumbua kiasi gani na wanagharamika kiasi gani kutafiti kuhusiana na ulimwengu Kama dunia ni flat na wanaficha Siri hiyo kaeni mkijua hawataruhusu binadamu wanaowaficha wapande vyombo na watoke nje ya dunia ambapo watashuhudia dunia ni flat au duara lkn kinyume na hapo ndo kwanza kina Elon musk wanataka wafanye biashara ya binadamu kwenda kutalii Mars!! Kama ni flat watamruhusu vipi afanye upumbavu huu...? Kama hujawaelewa wazungu Basi waelewe hata wachina ama wahindi au warusi ambao hao ni wamesharusha ama kwenda nje ya dunia na hata mmoja wapo angekuwa amesha sema dunia ni flat.
 
Hii mada kila mtu anaamini (sio kuelewa) alivyokaririshwa hapo kabla. Nilichokiona ni kwamba pande zote mbili zina hoja zinazohitaji majibu yaliyoenda shule.

Wa upande wa "dunia ni tambarare" wangejibu hoja za watu wa "dunia ni tufe" kama vile kingo za maji zi wapi, mwisho wa dunia ni eneo gani,kwanini jua halimuliki dunia kwa wakati mmoja na kuwa Giza wakati mwingine,n.k.
Pia wapinzani wao pia wajibu hoja kwanini maji yanamwagika toka Victoria kwenda nile ambako ni kaskazini,kwanini maji hayamwagiki ila yanatiririka,n.k.
Wadau wajuvi tiririkeni tueleweshane maana hii mada ni nzuri sana kwa ubongo.
 
Back
Top Bottom