Maswali kuhusu home elctronics (used). | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kuhusu home elctronics (used).

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dingswayo, May 17, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wakuu.

  Napenda kuuliza wale waliopo nyumbani Tanzania kuhusu biashara ya vifaa vya nyumbani vilivyotumika (used) vya elctronics. Hivi vhs cassette players bado zinatumika? Je, bado zina soko? Na TV zenye migongo je, (zenye tube) zinaweza kuuzika? Ni hayo machache tu. Kwa yeyote yule ambaye atahitaji bulk vifaa vya electonics vilivyotumika ani PM tuwasiliane. Natanguliza shukrani na siku njema.
   
 2. b

  bigjeff Senior Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  vitu vyote vinatumika kaka nilienda nikafanya research kidogo zipo nyingi tuu kariakoo upo pand zipi kaka
   
Loading...