Maswali kadhaa kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu

Frustration, ukiona jambo moja linakuwa na kauli tofauti tofauti kutoka kwa watu wa ofisi moja basi ujuwe tayaaari kwishi maarifa.
 
Mimi siwezi kuzaa hovyo hovyo kama panya! Hivyo usiwe na wasiwasi. Hoja yangu ni very simple. Bashite ni political Scavenger kama alivyowahi kusema memeber mmoja hapa. Haya yote anayofanya hayana msaada wowote na zaidi ni kupoteza muda na mali. Anachojaribu kuigiza kilishaigizwa na bwana mmoja anayeitwa Augustine Mrema na baada ya igizo hakukuwa na chochote kilichokuwa achieved.

Privacy: Kama unafikiri privacy ya mtoto na wahusika kwenye suala kama hili ni subjective basi sina namna ya kukueleimisha zaidi kwani unaonekana hujui hata ni kwanini tunapigania hiyo privacy! Na hata kama kweli kama ''privacy depends on emotions accruing from the circumstance or situation'' kama unavyodai lakini hapa kila kitu kipo clear and direct!
 
Laiti ungenijua,ungenywea.
Siwezi kunywea kwa mtu anayetowa maoni ya kijinga namna hii... Hata kama ungekuwa waziri mkuu! Nitanywea kwa ombaomba, fukara wa mtaani mwenye constructive ideas! Halafu mbaya zaidi ni kuwa unadili na mtu asiyeangalia sura wala cheo wala utajiri wa mtu bali positive thinking!
 
Siwezi kunywea kwa mtu anayetowa maoni ya kijinga namna hii... Hata kama ungekuwa waziri mkuu! Nitanywea kwa ombaomba, fukara wa mtaani mwenye constructive ideas! Halafu mbaya zaidi ni kuwa unadili na mtu asiyeangalia sura wala cheo wala utajiri wa mtu bali positive thinking!
Nadhani tumehitimisha,ila nakupa ushauri wa bure.Next time hata kama hoja ya mtu huipendi, jaribu kutumia maneno ya busara na hekima,ambayo haya raise emotions.
 
Hili suala la Makonda na mengine aliyokwisha fanya yanadharirisha watendaji wengine wa serikali. Mtu mmoja anaingilia mamlaka zote za nchi, kiasi ambacho hata waziri mkuu hawezi kudiriki. Hili ni moja ya madhaifu ya serikali ya awamu ya 5 ya utawala. Wasipoangalia huyu "mwendawazimu" ataivua nguo serikali pamoja na maafisa wake waandamizi.

Tatizo la DAB ni ukurupukaji na kufanya kazi za kujionesha. Hili ni tatizo la mazero-brain, siku zote hawajiamini na kila wanachofanya wanataka kionekane ni bonge la deal hata kama ni cha kawaida ua hata kama hakikutakiwa kufanyika kabisa. Eti anasema wanayo mamlaka ya kupima DNA! Hivi makonda hajui hatua hii hufikiwa wakati upi na ni vigezo gani huangaliwa kabla ya upimajiji halali kufanyika? Ni mahakama ipi itapewa mzigo wa kusikiliza kesi za namna hii na zile za malezi ya watoto kwa maelekezo na shinikizo la watawala? Ifahamike kuwa akina mama hawa sikuzote wamezungukwa na madawati ya jinsia na ustawi wa jamii lakini hawakuchukua hatua ya kushitaki.

Mkuu wa mkoa anayo mamlaka yake kisheria. Hata hivo mamlaka yakitumiwa vibaya inakuwa ni shida. Kazi ya Mkuu wa mkoa ni kuhamasisha na kuelekeza sekta zingine za uma kufanya mambo flani, sio ofisi ya mkuu wa mkoa kujigeuza jeshi la polisi, ustawi wa jamii, wizara au hata mahakama.

Serikali ya Magufuli iangalie mara mbili utendaji kazi wa mtu huyu. Si kila anaetembea na jembe ni mkulima mzuri, na si kila anaevaa vazi jeupe ni daktari -anaweza kuwa muuza bucha tu. Kwa kweli ilikuwa ni mapema sana kumpromote huyu kichaa.
Point
 
Finally,mimi sioni kwamba swala la privacy ni issue sana,kwa kuwa mbona hata mahakamani kwenyewe hakuna privacy,naona hapo kuna ajenda ya siri,kwa kuwa ni kweli kwamba kama utaanza kuzungumzia privacy ya watoto,itabidi pia uzungumzie privacy ya wahusika wengine.
Alikwambia nani mahakamani hakuna privacy? Umeshawahi kuona live proceedings za mahakama kwenye TV au picha ya mtu akiwa kizimbani?

Tukija huku kwa watoto, hata mahakamani hawapandishwi kizimbani kutoa ushahidi. Nenda kafanye utafiti, uje tena. Mahakama ina nidhamu zake ndugu yangu. Taasisi hizi zinapewa limitations sababu hazina uwezo wa kuhukumu, lakini mahakama ina mamlaka.
 
Alikwambia nani mahakamani hakuna privacy? Umeshawahi kuona live proceedings za mahakama kwenye TV au picha ya mtu akiwa kizimbani?

Tukija huku kwa watoto, hata mahakamani hawapandishwi kizimbani kutoa ushahidi. Nenda kafanye utafiti, uje tena. Mahakama ina nidhamu zake ndugu yangu. Taasisi hizi zinapewa limitations sababu hazina uwezo wa kuhukumu, lakini mahakama ina mamlaka.
Sawa,lakini hakuna mtu anayezuiwa kwenda mahakamani kuangalia proceedings.Mimi privacy nnayoizungumzia ni closed door proceedings, where no body is allowed in.Hiyo ya kwako where observers are allowed in, sio privacy mkuu.Unless you have your own measure of privacy.
 
Back
Top Bottom