Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Mwenye kujua hata moja kati ya haya anisaidie.maana nimejiuliza sana sijapata majibu.kinyonga nilimfanyia hadi majaribio!
1.Senene wanatokaga wapi?
2.Kwanini kinyonga hawezi kujibadilisha rangi na kuwa mweupe wakati rangi zingine zote anaweza?
3.Kwanini ukikata/ukikwaruza chuma kwa chuma meno yanaumia?
Karibuni waungwana..
1.Senene wanatokaga wapi?
2.Kwanini kinyonga hawezi kujibadilisha rangi na kuwa mweupe wakati rangi zingine zote anaweza?
3.Kwanini ukikata/ukikwaruza chuma kwa chuma meno yanaumia?
Karibuni waungwana..