Shukurani
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 251
- 11
Nakaa na kufikiri sana kama hotuba ya JK mwezi huu itaweza kujibu maswali yetu yote muhimu ambayo yanahitaji majibu ya haraka. Tungependa kujua tume ya BOT imefikia wapi? Vipi kuhusu Attoney general,atawajibika lini? vipi kuhusu Hosea,amefikia wapi? Watuhumiwa wa Richmond,serikali inachukua hatua gani au imechukua hatua gani? Vipi kuhusu pesa tunazolipa serikali inachukua hatua gani? IPTL,Songa's na Downs vipi?