Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,482
Wakuu,habarini
Ni utamaduni wa kibunge kuwa kila siku ya Alhamisi,wabunge hupata nafasi ya kumuuliza Waziri Mkuu maswali ya papo kwa papo na kuyatolea maelezo. Inawezekana kuna swali au jambo ambalo ungependa Waziri Mkuu alijibu au alitolee maelezo lakini wabunge hawawezi kuhisi unachokiwaza.
WEKA SWALI AMBALO UNGEPENDA WAZIRI MKUU AULIZWE.
Unaruhusiwa kutumia ''na kwa kuwa...''