Maswali 7 kwa Chadema baada ya Busanda!

and how would you describe CCM? the greatest thing to happen to Tanzania since the invention of fire?

How did you derive that opposite of CHADEMA is CCM? You definitely need to widen your vision on that. This thread is about CHADEMA, wanna talk about CCM start another thread.
 
If you can't beat 'em join 'em. After trying to stamp them as terrorists and failed, they've now decided to joined 'em and face the reality of the power of "Zinj".

If you can't stop the noise by turning off the power supply, you have to join your device in the supply to shout more louder.

That's whats happening now. By the way the thread doesn't explain more than same old arguments which had led us into this whole discussion of "Fisadism" and protectionism for its players simply because they are your fellows.
 
Chadema ni political opportunists tu, hawana ajenda yoyote ya maendeleo. Wanaishi kwenye ndoto za kufika mahali fulani ili tu wapate hisia za kuwa huko zilivyo.
Habari nzuri ni kwamba hizi chaguzi zinawawezesha waliofungua macho kuona, sasa ni juu ya kila aliyeona kama atafanya maamuzi sahihi au lah.

With all due repect,chama cha kisiasa kisicho na akili ya kutumia political opportunity ni chama mfu.

Tafuta wasaa usome japo kidUchu kuhusu POLITICAL OPPORTUNITY THEORY,paying attention to the role of actors,utilization of available political opportunities and expected outcomes.

Ukishamaliza kusoma na kuelewa umuhimu wa kutumia political opportunities,then tuje kwenye hilo la Chadema kutokuwa na ajenda ya maendeleo.Wht do you mean?Au unazungumzia hawana ajenda ya maendeleo ya mafisadi?Nadhani hujawahi kusoma documents mbalimbali zinazohusu vision ya chama hicho including manifesto waliyotumia 2005.Wangekuwa hawana ajenda,let alone ya maendeleo,wasingeweza kushinda Tarime au kushika nafasi ya pili Busanda.Ni rahisi kwako ku-overlook achievements hizo kwa vile (kama ulivyomjibu Mwanakijiji) unataka kuiangalia Chadema nje ya political process ambayo it's almost completely under CCM's domination.

Kuishi kwenye ndoto ya kufika sehemu flani,e.g. IKULU,ni ndoto ya chama chochote cha siasa.Tunaita "ndoto" kwa vile haija-materialize.Kuota si dhambi,as long as ndoto hizo ni realistic.Chama cha siasa kisicho na "ndoto" za kutawala kinapaswa kiwe pressure group au interest group,ambako hatahivyo,pasipo vision kitakosa sifa stahili ya existance yake.

Tujisumbue kidogo kusoma angalau theories nyepesi za siasa lest we fall victims of arriving at conclusions from the air!
 
Nadhani hujawahi kusoma documents mbalimbali zinazohusu vision ya chama hicho including manifesto waliyotumia 2005.

Unamaanisha manifesto ambayo baada ya uchaguzi CHADEMA wenyewe walikiri kuwa ilikuwa ni rasimu sifuri!!!?
Hatuhitaji Chama kinachoongozwa na theories kama hii ya political opportunitism, tunahitaji chama kinachokidhi mahitaji ya wananchi.
 
Sijasema chama kiongozwe na theories za politics...bali wewe MCHAMBUZI unapaswa kuwa na idea ya theories zinazo-govern political process...

By the way,wewe kutopenda political opportunism hakutaifanya Chadema,au chama chochote kile chenye kuelewa UMUHUMU WA KUTUMIA FURSA YA KISIASA,kufa!

Ili kukidhi mahitaji ya wananchi,ni muhimu kwa chama kupata mandate through ballot box,au mbinde za mapinduzi....Kwahiyo,kama unataka kuzungumzia "kukidhi mahitaji ya wananchi",chadema haiwezi kuwa variable nzuri kwako balI CCM ambayo ilikuwa na bado ina mandate ya kukidhi mahitaji hayo.
 
chadema haiwezi kuwa variable nzuri kwako balI CCM ambayo ilikuwa na bado ina mandate ya kukidhi mahitaji hayo.

Its incomprehensible the way chaps cant discuss CHADEMA without mixing stuff with CCM. Is this CCM mania or obcession?
 
Its incomprehensible the way chaps cant discuss CHADEMA without mixing stuff with CCM. Is this CCM mania or obcession?
Short Answer: Because CCM is synonymous with Tanzania's political system.
Long Answer: Structural functionalism
Bottom line: It's only incomprehensible if you don't want to bother yourself with a critical analysis of our country's socio-political processes.
 
Ndio stahiki zao hizo kutumia magari 24/7, unazungumzia marekani sie tupo Bongo sio kila kinachofanyika marekani ni applicable hapa.

Mkuu Masatu,

Zile kauli za kuleta TRA kule Nyarugusu, Kutompa Magessa leseni ya umeme wa upepo/jua ndo yanawezekana ndani ya Tanzania?
 
Haya mambo ukiyaangalia kwa black and white yatakuchanganya hasa.
Mimi naona kuwe na sheria za kuhakikisha hawa viongozi wanapokuwa kwenye kufanya shughuli za vyama vyao basi wasitumie magari na resources zingine za serikali bila kujali ni wabunge au mawaziri. magari ya wabunge yamenunuliwa kwa pesa za wananchi; je wanapoyatumia kwenye kampeni za vyama vyao ni sahihi?

Sahihisho tu!

Siku hizi wabunge hawapewi magari wanakopeshwa hela na wananunua magari wanayopenda na ni mali zao! Nadhani ukimkopesha mtu sio kwamba umempa

Ingawa kwa case ya MPs kuna element kidogo za msamaha wa kodi na kwamba mkopo hauna riba.

Vi-inzi vinatakiwa tu kunasa magari ya mawaziri yale yenye number za W a NW...

Hata hivyo vi-inzi vinatakiwa kujua hayo magari pia yana STK namba pia.

Otherwise Masatu maswali mazuri.
 
Mimi naomba kusaidia kujibu swali la nne

Anayelipia chopa ni mtu wa RA anawekeza upande wa pili just incase

Habari ndio hiyo

Tanzania kuna sheria za third party contribution kwenye kampeni? SIDHANI. Sasa kelele za kazi gani Chadema ikitumia hela za mtu binafsi kufadhili chopa? Hela za mtu binafsi ni tofauti na utumiaji wa hela za umma ilichofanya CCM! So point crushed...please try another one...
 
Mkuu heshima mbele, ni huyo huyo public enemy number one RA mkono wake unawekeza kwa Chadema
 
Mkuu heshima mbele, ni huyo huyo public enemy number one RA mkono wake unawekeza kwa Chadema

Heshima na kwako mkuu. Mngesema wazi hivyo...sio mnauliza pesa imetoka wapi? Au sio? Maana ishu ya pesa tanzania kwenye kampeni hatujafikia kuweka limit.
 
Kama CCM inatumia kila mbinu iliyonayo, na itokanayo na uwepo wake madarakani kushinda chaguzi -- ni mbaya gani kwa Chadema kujibu in kind -- and perhaps more?

Kikubwa wanacho CCM ni NEC na ZEC vyombo vyote viwili ambavyo wajumbe wake huteuliwa na wakuu wa chama tawala -- kwa maana ya M'kiti wa Taifa wa CCM na Makamu wake wa Zanzibar. Kwa hilo pekee Chadema (na upinzani kwa ujumla) ni kama umevuliwa nguo -- yaani hawana kitu kabisa cha kuipiku CCM. Tulishaona mshindi kabisa wa uchaguzi kutotangazwa na badala yake kutangazwa yule aliyeshindwa! Au sasa tunasahau?

Kwa maoni yangu naona Chadema waendelee tu kuwafanyia vituko/vurugu CCM kwa kadri ya uwezo wao -- hadi hapo CCM itakapokubali kuendesha siasa za hakli kwenye uwanja ulio sawa -- yaani, pamoja na mambo mengine, mabadiliko ya katiba ambayo yanaweza kuleta NEC na ZEC ambazo ni huru na zinazokubalika na wadau wote wa siasa.

kama hawatataka hivyo -- basi mambo yaende mdundo hivyo hivyo tu -- labda mpaka civil war itokee.
 
Sahihisho tu!

Siku hizi wabunge hawapewi magari wanakopeshwa hela na wananunua magari wanayopenda na ni mali zao! Nadhani ukimkopesha mtu sio kwamba umempa

Ingawa kwa case ya MPs kuna element kidogo za msamaha wa kodi na kwamba mkopo hauna riba.

Vi-inzi vinatakiwa tu kunasa magari ya mawaziri yale yenye number za W a NW...

Hata hivyo vi-inzi vinatakiwa kujua hayo magari pia yana STK namba pia.

Otherwise Masatu maswali mazuri.

Mkuu Kasheshe,

Mbona na wewe hujakopeshwa pesa za shangingi na kama 20m juu kwa ajili ya gari? According to hon. Zitto, wanapewa pesa zingine mbali ya zile wanazokopeshwa na pia wanasamehewa ushuru na kodi za kuingiza hayo magari. Hata wanazokopeshwa hakuna interests.

Hizo ni pesa za wananchi na wamepewa ili watumie kufanyia kazi zao za ubunge.
 
1. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria?

2. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti?

3. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM?

4. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi?

5. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki kutoka Tarime kwenda kufanya fujo?

6. Nauliza kwanini Chadema walinunua vijana kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea?

7. Nauliza kwanini viongozi wa Chadema walikuwa wakitoka matamshi ya kuchochea uvunjwaji wa amani Busanda?

Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na wafuatao

1. Freeman Mbowe

2. Dr Wilbroad Slaa

3. Zitto Kabwe

Mkuu masatu maswali yako ni mazuri lakini naona umetaja watu wa kuyajibu sitwawasaidia. Mimi ningependa kujua kwa undani huu upande wa pili wa shiringi kwani mengine yote yalilipotiwa mbona hii kitu hata kwenye gazeti la chama cha kijani haikuonekana? Maana kwa ninavyowajua chama cha kijani wangeshikia bango. Report zote hazionyeshi kama hawa kulikuwa na vijana wa chadema wakifanya fujo lakini chama cha kijani ililipotiwa na picha zipo.

Mimi ningeomba source yako au labda kama ulikuwa huko physically.

Ni vizuri kupata habari kama hizi ili kujua ukweli ni upi.
 
Siyo hayo tu, haya matendo anayotaja Masatu hayakuonekana kwa sababu ni hisia tu za Masatu. Yaliyofanyika kwa wazi na kuripotiwa hawezi kuyataja kwa sababu hajayaona kwenye You Tube. Nakumbuka siku alipoona matendo ya kinyama dhidi ya binti wa watu hapo Manzese kwenye You Tube alivyoivalia njuga serikali ya CCM. Kama nakumbuka vizuri alitokwa na machozi na hakuweza kulala kwa siku kadhaa -
ndiye Masatu huyooo !! :rolleyes:
 
Back
Top Bottom