15. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria?
16. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti?
17. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM?
18. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi?
19. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki kutoka Tarime kwenda kufanya fujo?
20. Nauliza kwanini Chadema walinunua vijana kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea?
21. Nauliza kwanini viongozi wa Chadema walikuwa wakitoka matamshi ya kuchochea uvunjwaji wa amani Busanda?
Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na wafuatao
1. Freeman Mbowe
2. Dr Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
Mzee Kijana,15. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria?
16. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti?
17. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM?
18. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi?
19. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki kutoka Tarime kwenda kufanya fujo?
20. Nauliza kwanini Chadema walinunua vijana kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea?
21. Nauliza kwanini viongozi wa Chadema walikuwa wakitoka matamshi ya kuchochea uvunjwaji wa amani Busanda?
Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na wafuatao
1. Freeman Mbowe
2. Dr Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
Mzee Kijana,
Naona hapo umemkoma Nyani giladi. Tatizo la padre inaelekea yuko biased, ningetegemea padre wa mungu achambue mabaya yote kutoka pande zote.
Pia asilimia 50 ya watu kupiga kura sio jambo la ajabu kabisa. Unless ana ushahidi wa kutosha kuonyesha hao wengine walizuiwa au shahada zao zilinunuliwa, naona argument yake hii ni weak.
Kuiba kura, kununua shahada, kufanya vurugu wakati wa kampeni, kutumia vyombo vya dola vibaya, vyama kuwa na mamluki wa kuzomea nk. haya yote ni mambo mabaya ambayo inatakiwa tuyakemee kwa nguvu zote.

Kwenye viongozi wa serikali kwenda huko, anasahau hata akina Zitto, Dr. Slaa na wengine ni wabunge wa maeneo yao, je na wenye kwenda huko walikuwa likizo sehemu zao za kazi? Kinachotakiwa ni kuwa na utaratibu ambao unaelezea namna ya gharama za waziri au mtumishi yeyote wa serikali kulipiwa anapokuwa kwenye kazi za chama chake. Hapa sio waziri tu, hata wabunge nao wanaguswa na hilo.
Kuiba kura, kununua shahada, kufanya vurugu wakati wa kampeni, kutumia vyombo vya dola vibaya, vyama kuwa na mamluki wa kuzomea nk. haya yote ni mambo mabaya ambayo inatakiwa tuyakemee kwa nguvu zote.
Mkuu Masatu, maswali yako mazuri sana lakini haya mambo yanawezekana vipi kwa nchi inayojali utawala wa sheria na haki. Labda tukubaliane kuwa viongozi tuliowapa dhamana hiyo wameshindwa na hivyo kutoa mwanya kwa maswali kama yako. Sasa kama ni hivi, uchaguzi ni wa nini kama chama kinachounda serikali ndicho kinara wa uvunjaji wa sheria. Kumbuka Uchaguzi una sheria zake na kuna watu wanalipwa mamilioni ya pesa za walipa kodi kusimamia sheria hizo - ni hawa ndio ninawataka watuambie kwa nini walishindwa kufanya hivyo.
15. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria?
16. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti?
17. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM?
18. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi?
19. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki kutoka Tarime kwenda kufanya fujo?
20. Nauliza kwanini Chadema walinunua vijana kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea?
21. Nauliza kwanini viongozi wa Chadema walikuwa wakitoka matamshi ya kuchochea uvunjwaji wa amani Busanda?
Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na wafuatao
1. Freeman Mbowe
2. Dr Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
Masatu,
Hata kama waziri alienda kama mbunge kwa nini alitumia wadhifa wake kama waziri kuhakikisha FFU inawadhibiti wapinzani? Hapa Marekani jambo hilo lisingekubalika kabisa.
Mkuu Jasusi,Masatu,
Hata kama waziri alienda kama mbunge kwa nini alitumia wadhifa wake kama waziri kuhakikisha FFU inawadhibiti wapinzani? Hapa Marekani jambo hilo lisingekubalika kabisa.
- hakosi hapa maana kuna pure ideas, maswali na majibu na huwezi pata hii elimu popote bongo..
FMEs!
Teh teh.....
amakweli jamiiforums ni bunge tukutu..
omarilyas
Mkuu Jasusi,
Una uhakika na hilo? Ni wapi ambako Wapinzani walidhibitiwa na FFU kwa amri ya Masha?
Angalia Tarime, polisi walipiga watu, waliweka watu ndani lakini CHADEMA bado wakashinda. Kilichotokea Busanda ni will of the people; they were not coreced into voting CCM. Tukilielewa hilo basi tutawasaidia Upinzani ili wajiandae na kujijenga zaidi. Playing ground is not going to change; inabidi wacheze hivyo hivyo na rafu zote lakini kama wana wachezaji imara, naamini wanaweza kuishinda CCM.
Hii ya kusema mawaziri waliacha kazi zao kwenda Busanda naona masatu kaliandika vizuri hapo juu. You can't have your cake and eat it too! Ni sawa kwa Zitto kuacha jimbo lake la Kigoma kwenda kupiga kampeni Busanda lakini sio sawa kwa Masha ambaye ni mbunge wa huko huko mwanza kuacha kazi zake zingine kwenda kukisaidia chama chake?
Haya mambo ukiyaangalia kwa black and white yatakuchanganya hasa.
Mimi naona kuwe na sheria za kuhakikisha hawa viongozi wanapokuwa kwenye kufanya shughuli za vyama vyao basi wasitumie magari na resources zingine za serikali bila kujali ni wabunge au mawaziri. magari ya wabunge yamenunuliwa kwa pesa za wananchi; je wanapoyatumia kwenye kampeni za vyama vyao ni sahihi?
Mtanzania,
Sikumbuki ni gazeti gani lakini ilikuwemo ripoti Masha akiwaambia FFU wafanye kazi yao. Sasa siku zote hajawaambia wafanye kazi yao na wakati wa uchaguzi ndio anawakumbusha kufanya kazi yao? Na tunajua FFU kazi yao ni kuzibiti wapinzani.
Lakini siku hizi wanasikika tu kwenye eneo la uchaguzi. Ndio maana wengine tunasema kulikoni? At least kule Tarime enzi za Mwalimu aliwatumia kupambana na ubabe wa wizi wa ng'ombe lakini siku hizi unawasikia tu kunapokaribia uchaguzi. Na wanaong'atwa ni wapinzani.- Hapana mkuu hii style ya FFU, Mwalimu aliitoa huko East nchi kama Yugoslavia, Rumania, Chezc, na Bulgaria zote zilikuwa na hawa FFU likes, niliwahi pita na meli huko na kuwaona hawa FFU,
- Nilipouliza kwa nini wako special sana, maana wananchi walikuwa wanawaogopa sana wakipita mitaani, nikaambiwa kwamba hao ndio hasa walindaji wa sera ya Communism, yaani watawala wa nchi hizo walikuwa wanakusanya watoto wa yatima na kuwapeleka kwenye camps maalum toka wakiwa wadogo, mbali sana na miji ya wananchi huko wanawafundisha unyama tu na kupiga wananchi, sasa siku ikitokea kasheshe ndio wanaletwa kumaliza soo,
- Zamani bongo FFU, walikuwa na kazi mbili Mpirani na Mlimani, na ninakumbuka enzi hizo wakitokea tu manaanza wenyewe kutimka, nasikia siku hizi wanaitwa kikosi cha kuzuia ghasia, lakini FFU ilikuwa idea ya Mwalimu.
Respect.
FMEs!
Lakini siku hizi wanasikika tu kwenye eneo la uchaguzi. Ndio maana wengine tunasema kulikoni? At least kule Tarime enzi za Mwalimu aliwatumia kupambana na ubabe wa wizi wa ng'ombe lakini siku hizi unawasikia tu kunapokaribia uchaguzi. Na wanaong'atwa ni wapinzani.
Mkuu MTZ
Wanasahau turn up ya Tarime pia ilikuwa ni below 50% lakini hakuna alie hoji, mwabaki kutukana tu sasa
Chadema ni political opportunists tu, hawana ajenda yoyote ya maendeleo. Wanaishi kwenye ndoto za kufika mahali fulani ili tu wapate hisia za kuwa huko zilivyo.
Habari nzuri ni kwamba hizi chaguzi zinawawezesha waliofungua macho kuona, sasa ni juu ya kila aliyeona kama atafanya maamuzi sahihi au lah.