Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Uliza hivi unapokuwa deti.

* unaitwa nani binti.

* hivi wewe ni kabila gani.

* baba yako anafanya kazi wapi.

* nasikia mama yako Msukuma ni kweli.

* elimu ya kidato cha nne ulipata alama ngapi.

* darasani ulikuwa unashika namba ngapi katika ufaulu ( shule ya msingi )

* unaishi wapi kwa sasa.

* huwa unaoga mara ngapi kwa mwezi.

* mara ya mwisho kufanya mapenzi ni lini.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kupotosha vijana wewe hata wale wa sinza hung'oi kwa style hii

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?
mkuuuu ww ndo umeuliza maswaki
 
Naona wanautafiti mpo katita delive formula's za mapenzi
 
Back
Top Bottom