Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

btw hakuna kanuni upande wangu.silaha inatumika kutokana na 'adui' alivyo.mchangamfu sana mrushie topic tu na hakikisha anajikaanga kwa maongez mengi ye mwenyewe..msikivu na makini...mmmh tricky...nitaperuzi nini anapenda na nitavidonoa donoa kwa mbaali katika hali ambayo haitaboa(asije akahisi ni kipindi cha mzee makwaia wa kuhenga cha je tutafika!)..
ofkoz mwishon swali la tatu la the boss lazima lihusike!
 
Hili ukilipata jibu zuri mapema una relax tu...unasubiri time

ili kama imeshindikana unajua mapemaaa...sio unafika eneo la tukio ndio unajiuliza hauna 'rubber' na ni saa sita kasoro usiku,sumbawanga huku ninakoishi si ndio mambo ya kuuza mechi hayo!?
 
Na akitaka kuchomoa unamwambia usiogope hatutafanya chochote zaidi ya kupumzika na kupiga stori ili unizoee

Kwisha....achana na maswali 40, ya nini? labda kama hauna hata hela ya kinywaji hapo ndio taralira nyingi kukwepa bili.
Hiyo lala hatutafanya chochote nimeshaitumia. Tena unaweza kuandaa sebule kwa ajili ya kulala wewe kama huna chumba cha ziada.

Chumbani unamsindikiza mwenyewe na stori mbili tatu na utani kiasi....
 
Hili ukilipata jibu zuri mapema una relax tu...unasubiri time
Au mvua inyeshe ghafla kwa muda mrefu na muda umeshaenda basi umemaliza kazi.

Miaka kadhaa iliyopita majambazi walishawahi kunifanikishia. Walipiga risasi kadhaa mtaani wakati wanapora. Mwali akaogopa kutoka nje na kukubali kulala!!
 
Au mvua inyeshe ghafla kwa muda mrefu na muda umeshaenda basi umemaliza kazi.

Miaka kadhaa iliyopita majambazi walishawahi kunifanikishia. Walipiga risasi kadhaa mtaani wakati wanapora. Mwali akaogopa kutoka nje na kukubali kulala!!

Hahaa wapi hiyo?Tabata nini?
 
Mkuu umetisha "kama ukitawala dunia ungependa kubadilisha kitu gani" hahahaaa...... Hilo swali mother Theresa alijibu mkuu if you want to change the world go home and love your family
 
Je ni mambo gan hupenda kufanya baada ya kchoka kusoma au ukiwa free?
 
Kumbuka mwanamke hapendi maswali anapenda story

Ukimumunya maswali wewe utamboa tu weka vistori hivi harafu mwache ajieleze na sapoti nzito yako na utani mwanana
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?
Da umeuwa bendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uliza hivi unapokuwa deti.

* unaitwa nani binti.

* hivi wewe ni kabila gani.

* baba yako anafanya kazi wapi.

* nasikia mama yako Msukuma ni kweli.

* elimu ya kidato cha nne ulipata alama ngapi.

* darasani ulikuwa unashika namba ngapi katika ufaulu ( shule ya msingi )

* unaishi wapi kwa sasa.

* huwa unaoga mara ngapi kwa mwezi.

* mara ya mwisho kufanya mapenzi ni lini.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo date itakuwa too mechanical mpaka ita-bore kinoma.

Utadhani Sam Mahela kwenye kipindi cha dakika 45!!

Maongezi yenu yatakuwa yanawaongoza juu ya nini muulizane.
 
Back
Top Bottom